Azam anatuharibia mpira: Unamiliki timu halafu unakuwa mdhamini wa ligi, hii haikubaliki

Azam anatuharibia mpira: Unamiliki timu halafu unakuwa mdhamini wa ligi, hii haikubaliki

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Leo nimeumia sana, tumenyimwa penati 3 clear kabisa wakuu kisa timu ya mdhamini inacheza.

Maumivu ni makali sana, tungefunga penati zote tungewakanda 5-2. GSM na Azam hatuwataki.

Mo acha unyonge, dhamini nawewe timu mbili tatu.

Simba Nguvu moja.
 
Kama bado wewe ni kijana chunga uzeeni usije kuwa mchawi
 
Penalty ya wazi kama hii tumenyimwa kisa tuu Azam anadhamini ligi yetu,huu ni uonevu kabisa.
 

Attachments

  • FB_IMG_17404367409773926.jpg
    FB_IMG_17404367409773926.jpg
    369.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom