- Thread starter
- #41
Uki comment kwa ujinga wewe unakuwa mjinga mara miahuu ujinga mwingine unaoandikwa humu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uki comment kwa ujinga wewe unakuwa mjinga mara miahuu ujinga mwingine unaoandikwa humu!
Msomaji habari so mwandishi wa hizo habariUn
Unawezaje kuandika usichoweza kukisoma?
Ingekuwa Udini angewekaAkisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Kwani umelazimishwa kuingiaNaunga hojaa....humu kuna vituko mnooo
Azam media udini hana, kuna wakristo wengi sana pale Azam, almost ni 50/50Ni wadini balaa
Sijawhi hata kuionaSi unagalie Agape Mkuu wa ile TV ya mzee wa upako.
Hizo ni strategy za biasharaIngekuwa Udini angeweka
channel za kikristo kwenye king'amuzi chake?
Mm nafamilia yangu na ukoo wetu wote tuko DSTV. yaaani sitokiii.Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
ongezea hapo Gwalugano Mwakalobo. Gilbert Yohanes n.kIla upande wa Tv Azam hawana udini aisee mi naweza nikakutajia majina ya wakristo pale hadi ukachoka kuanzia asubuhi hadi jioni
Huyo labda kakosea kutokana na uwezo wake mwenyewe wa kuelewa mambo ila udini hapana Azam wakristo wengi sana
1.Hilda Foya
2.Mercy
3.Ivona
4.Tido
5.kale kajamaa kanatangaza na Foya
6.Paschal kabombe
Ni wengi sana kina Nyembela
7. Baraka mpenjaIla upande wa Tv Azam hawana udini aisee mi naweza nikakutajia majina ya wakristo pale hadi ukachoka kuanzia asubuhi hadi jioni
Huyo labda kakosea kutokana na uwezo wake mwenyewe wa kuelewa mambo ila udini hapana Azam wakristo wengi sana
1.Hilda Foya
2.Mercy
3.Ivona
4.Tido
5.kale kajamaa kanatangaza na Foya
6.Paschal kabombe
Ni wengi sana kina Nyembela
Kuna uhuru wa habari na uhuru wa mwenye chombo cha habari mkuuAisee huwezi enjoy.
Diamond sio mjinga kuanzisha Media yake hata kama anashea hisa
Kardinali pengo ni muandishi wa habari mkuu??..Rahisi kwa nani babu!!?..kadinali pengo anaweza kusema inna Lillah wa inna ilaihiyir raajiun!?
Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Ndg Gulwa uwezo wako kwenye masuala ya kidini na kiimani bado ni mdogo sana!Mkuu Hakuna udini kwenye kumtaja Maria kwa sababu kuna msikitini upo UAE nahisi uko Abu dhabi unaitwa Msikiti wa Mary mother of jesus..
Na kwenye Quran kuna Sura ya Mariam nzima kabisa..
Uwezo wako kwenye masuala ya kidini na kiimani ni mdogo sana.Rahisi kwa nani babu!!?..kadinali pengo anaweza kusema inna Lillah wa inna ilaihiyir raajiun!?
Mkuu hasichojua huyo ni kwamba hayo maneno ni ya Kiarabu. Wapo waarabu wakristo na wengineo wasio waislamu wanayatamka hayo na kuongea Kiarabu kumliko!Kardinali pengo ni muandishi wa habari mkuu??..
Halafu hayo maneno mbona mepesi kama umeishi kwenye jamii za kiislamu. Maana kila msiba lazma uyasikie au na yenyewe yanahitaji ukasome madrasa ili uyajue
Hata kwenye management KTM eaters ni wengi.Ila upande wa Tv Azam hawana udini aisee mi naweza nikakutajia majina ya wakristo pale hadi ukachoka kuanzia asubuhi hadi jioni
Huyo labda kakosea kutokana na uwezo wake mwenyewe wa kuelewa mambo ila udini hapana Azam wakristo wengi sana
1.Hilda Foya
2.Mercy
3.Ivona
4.Tido
5.kale kajamaa kanatangaza na Foya
6.Paschal kabombe
Ni wengi sana kina Nyembela
Kwa hivyo hata wewe ukitamka Abrahaman instead of Abdul Rahman utaitwa mdini? Ni wakristo wangapi hawajui kuzungumza kihebrew? Je huko shuleni huwa mnaenda kusoma ujingaKama huwezi kusoma kwanini uwe msomaji?
RubbishKwa hivyo hata wewe ukitamka Abrahaman instead of Abdul Rahman utaitwa mdini? Ni wakristo wangapi hawajui kuzungumza kihebrew? Je huko shuleni huwa mnaenda kusoma ujinga