Azam, Azam Udini utawaharibia

Ingekuwa Udini angeweka
channel za kikristo kwenye king'amuzi chake?
 
Mm nafamilia yangu na ukoo wetu wote tuko DSTV. yaaani sitokiii.
 
ongezea hapo Gwalugano Mwakalobo. Gilbert Yohanes n.k
 
7. Baraka mpenja
8. Aidan Samuel
9. mkenya wa matangazo ya kiingereza ya mpira
10. Daniel bandezu
11. Mdada wa sinemeka
12. Mzee wa masumbwi MC yule
13.,..,..

Nimechoka kutajà.
 
Rahisi kwa nani babu!!?..kadinali pengo anaweza kusema inna Lillah wa inna ilaihiyir raajiun!?
Kardinali pengo ni muandishi wa habari mkuu??..

Halafu hayo maneno mbona mepesi kama umeishi kwenye jamii za kiislamu. Maana kila msiba lazma uyasikie au na yenyewe yanahitaji ukasome madrasa ili uyajue
 
Mkuu Hakuna udini kwenye kumtaja Maria kwa sababu kuna msikitini upo UAE nahisi uko Abu dhabi unaitwa Msikiti wa Mary mother of jesus..
Na kwenye Quran kuna Sura ya Mariam nzima kabisa..
Ndg Gulwa uwezo wako kwenye masuala ya kidini na kiimani bado ni mdogo sana!
Kuna vingi huvijui!
 
Rahisi kwa nani babu!!?..kadinali pengo anaweza kusema inna Lillah wa inna ilaihiyir raajiun!?
Uwezo wako kwenye masuala ya kidini na kiimani ni mdogo sana.
Hayo ni maneno ya Kiarabu si ya Kiislamu. Na wapo wakristo wengi tu wanayasema na kuyaandika!

Tofautisheni lugha, imani na dini!
 
Kardinali pengo ni muandishi wa habari mkuu??..

Halafu hayo maneno mbona mepesi kama umeishi kwenye jamii za kiislamu. Maana kila msiba lazma uyasikie au na yenyewe yanahitaji ukasome madrasa ili uyajue
Mkuu hasichojua huyo ni kwamba hayo maneno ni ya Kiarabu. Wapo waarabu wakristo na wengineo wasio waislamu wanayatamka hayo na kuongea Kiarabu kumliko!
 
Hata kwenye management KTM eaters ni wengi.
 
We jamaa utakuwa umeishi kwenye bandari ya kakuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…