tff ni 'jecha' ...Hakuna sababu ya vodacom kudhamini ligi kama hii ambayo bingwa anapangwa na chama cha soka......
Nashauri TFF msimu ujao wamkabidhi tu Yanga ubingwa wake maana kuendelea na ligi ambayo bingwa ameshapangwa na TFF ni kuwapotezea watu muda wao na nguvu zao.....
Jamani kwa Azam mambo yako vipi?
Wamechomoka au?
Umeme ulikata ndio maana nikawa outdated, umerudi sasa.Wanapigiana penalt.....mtani
Unauhakika kuwa mpira umeishaMpira umeisha Coastal Union 1 - Young African 2.
Fujo zimetokea, mawe yanavurumishwa uwanjani. Ahsante kwa muda wa nyongeza Yanga tumetoka vifua mbele.
Achana na hao wanaosema tumebebwa, bebweni nanyinyi kama ni rahisi.
Hongera Yanga.
#teamyangaforever#
Iko sababu ya ku import waamuzi nchini
vp izo dk 15 zlzobaki vp kesho au ndo basi tena.
Hivi wewe unajua unachokisema kweli?Hakuna sababu ya vodacom kudhamini ligi kama hii ambayo bingwa anapangwa na chama cha soka......
Nashauri TFF msimu ujao wamkabidhi tu Yanga ubingwa wake maana kuendelea na ligi ambayo bingwa ameshapangwa na TFF ni kuwapotezea watu muda wao na nguvu zao.....
Tusubiri penalty dearYanga inakutana na icecream.
WTF?Mchezo umevunjika
Waamuzi wa Tanzania kamwe hawatakuja kucheza mashindano yoyote africa nje ya Tanzania
Na mpira wetu tusitegemee kama utakuja kuendelea kama unajua mpira utaona yanga huu mchezo walitafutiwa ushindi!
Huo ndo ukweliiiiii kama hujui mpira utalopoka shudu zako hapo