Azam Confederation Cup, Yanga VS Coastal Union 24:04:2016

Azam Confederation Cup, Yanga VS Coastal Union 24:04:2016

Hakuna sababu ya vodacom kudhamini ligi kama hii ambayo bingwa anapangwa na chama cha soka......

Nashauri TFF msimu ujao wamkabidhi tu Yanga ubingwa wake maana kuendelea na ligi ambayo bingwa ameshapangwa na TFF ni kuwapotezea watu muda wao na nguvu zao.....
tff ni 'jecha' ...
 
Mpira umeisha Coastal Union 1 - Young African 2.
Fujo zimetokea, mawe yanavurumishwa uwanjani. Ahsante kwa muda wa nyongeza Yanga tumetoka vifua mbele.
Achana na hao wanaosema tumebebwa, bebweni nanyinyi kama ni rahisi.
Hongera Yanga.

#teamyangaforever#
Unauhakika kuwa mpira umeisha
 
Kuna watu wananitusi,ukweli uwazi Yanga ni timu mbovu haistahili.Yanga ndiye mchawi wa soka la bongo.
 
Hakuna sababu ya vodacom kudhamini ligi kama hii ambayo bingwa anapangwa na chama cha soka......

Nashauri TFF msimu ujao wamkabidhi tu Yanga ubingwa wake maana kuendelea na ligi ambayo bingwa ameshapangwa na TFF ni kuwapotezea watu muda wao na nguvu zao.....
Hivi wewe unajua unachokisema kweli?
Hivi kwanini mnapenda kujidai wajuaji wakati hamjui chochote?
Ungesoma hata heading basi.....

Mashabiki wa Simba mna stress sana sipatii picha huko majumbani kwenu hali ikoje.

Kwa kukuonea huruma tu,hili ni kombe la ASFC na waandaaji/wadhamini ni Azam.
 
Waamuzi wa Tanzania kamwe hawatakuja kucheza mashindano yoyote africa nje ya Tanzania

Na mpira wetu tusitegemee kama utakuja kuendelea kama unajua mpira utaona yanga huu mchezo walitafutiwa ushindi!

Huo ndo ukweliiiiii kama hujui mpira utalopoka shudu zako hapo

Duh, huyu Ndugu huyu ana hasira sana... Utalopoka??!!>>>>>>>utaropoka
 
Back
Top Bottom