Azam Confederation Cup, Yanga VS Coastal Union 24:04:2016

Nina hasiraaaa sasa utaona TFF watakapo fanya maamuzi shudu mpira si haujaisha ule

Kwani imekuwaje Ndugu yangu, matokeo ya mpira yakoje maana niko huku hamna tv wala redio..
 
Mpira wa yanga na Costal umevunjika so mpaka TFF WAtoe maamuzi nn kinafuata baada ya kupata report ya mchezo! Kifupi yanga wamependelewa hadi mashabiki wameshindwa kuvumilia
 
mmmmmh, kama mchezo umevunjika, sheria ziko wazi...wahusika (TFF/wanaosimamia mashindano) wanaangalia sababu za mchezo kuvunjika....ikiwa waliosababisha kuvunjika ni wafuasi au wapenzi basi timu yenye wapenzi au wafuasi hao inapoteza mchezo...
 
Mbna mwamuzi wa pembeni anatofautiana na mwamuzi wa kati?

Julio alisema wanaoshinda hawastahili kushindaa ndo maana nje ya nchi hawafanyi vizuri
 
INA MAANA YANGA FC NA MANCHESTER UNITED WOTE F.A WAMEENDA FAINAL?
 
Mbna mwamuzi wa pembeni anatofautiana na mwamuzi wa kati?

Julio alisema wanaoshinda hawastahili kushindaa ndo maana nje ya nchi hawafanyi vizuri

kama mwadui fc inahangaika kuifunga mbeya city na azam je esparence watawaweza ajinoe kwanza ndo alalamike hawana totaut na maadui wa barcelona hakuna namna .
 
Mbna mwamuzi wa pembeni anatofautiana na mwamuzi wa kati?

Julio alisema wanaoshinda hawastahili kushindaa ndo maana nje ya nchi hawafanyi vizuri

Comrade, achana na Julio, yule hawezi kutoa neutral and professional analysis...huwezi ukasema yeye ni 'professional' katika uchambuzi kama anasema Yanga ni sawa na mwembe wa uani na kwamba unapojisikia unaenda kuchuma/kuokota embe...

Tukija kwenye suala la msingi...Report ya mwamuzi wa kati (referee) ndiyo ambayo huangaliwa na ile ya Kamisa wa mchezo.
 
Mpira wa yanga na Costal umevunjika so mpaka TFF WAtoe maamuzi nn kinafuata baada ya kupata report ya mchezo! Kifupi yanga wamependelewa hadi mashabiki wameshindwa kuvumilia
Mashabiki wa mikia wameleta fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…