ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nina hasiraaaa sasa utaona TFF watakapo fanya maamuzi shudu mpira si haujaisha uleDuh, huyu Ndugu huyu ana hasira sana... Utalopoka??!!>>>>>>>utaropoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina hasiraaaa sasa utaona TFF watakapo fanya maamuzi shudu mpira si haujaisha uleDuh, huyu Ndugu huyu ana hasira sana... Utalopoka??!!>>>>>>>utaropoka
Nina hasiraaaa sasa utaona TFF watakapo fanya maamuzi shudu mpira si haujaisha ule
Refa hajapigwa hata na gaazeti?Mshika kibendera anavuja damu kapigwa mawe na wagosi
simba acheni kulalamika bhanaHakuna sababu ya vodacom kudhamini ligi kama hii ambayo bingwa anapangwa na chama cha soka......
Nashauri TFF msimu ujao wamkabidhi tu Yanga ubingwa wake maana kuendelea na ligi ambayo bingwa ameshapangwa na TFF ni kuwapotezea watu muda wao na nguvu zao.....
Mpira wa yanga na Costal umevunjika so mpaka TFF WAtoe maamuzi nn kinafuata baada ya kupata report ya mchezo! Kifupi yanga wamependelewa hadi mashabiki wameshindwa kuvumiliaKwani imekuwaje Ndugu yangu, matokeo ya mpira yakoje maana niko huku hamna tv wala redio..
mmeamia azam tena!!Azam tutabeba VPL na Confederation.
hawa wa matopeni sisi tunawasaidia kumpiga huyu mwarabu wa tanga aliewafunga halafu wao wanalalamika..mbn hawana shukran ati?Wa matopeni acheni kuchonga pili pili ale cost we unawashwa
Mpira wa yanga na Costal umevunjika so mpaka TFF WAtoe maamuzi nn kinafuata baada ya kupata report ya mchezo! Kifupi yanga wamependelewa hadi mashabiki wameshindwa kuvumilia
Hahaha tatizo simba hana nguvu tenammeamia azam tena!!
Hahahahaaahawa wa matopeni sisi tunawasaidia kumpiga huyu mwarabu wa tanga aliewafunga halafu wao wanalalamika..mbn hawana shukran ati?
Mbna mwamuzi wa pembeni anatofautiana na mwamuzi wa kati?mmmmmh, kama mchezo umevunjika, sheria ziko wazi...wahusika (TFF/wanaosimamia mashindano) wanaangalia sababu za mchezo kuvunjika....ikiwa waliosababisha kuvunjika ni wafuasi au wapenzi basi timu yenye wapenzi au wafuasi hao inapoteza mchezo...
Mbna mwamuzi wa pembeni anatofautiana na mwamuzi wa kati?
Julio alisema wanaoshinda hawastahili kushindaa ndo maana nje ya nchi hawafanyi vizuri
Mbna mwamuzi wa pembeni anatofautiana na mwamuzi wa kati?
Julio alisema wanaoshinda hawastahili kushindaa ndo maana nje ya nchi hawafanyi vizuri
Mashabiki wa mikia wameleta fujoMpira wa yanga na Costal umevunjika so mpaka TFF WAtoe maamuzi nn kinafuata baada ya kupata report ya mchezo! Kifupi yanga wamependelewa hadi mashabiki wameshindwa kuvumilia