Da mzee una gubu itabidi uombewe na mwamposa!!!. Kwahiyo hilo goli la mayele ni la mchongo? AhahahahahhahahahhahahahahHana hatari
Hatari anayo refa
Refa kampa magoli yote 11 [emoji23][emoji23] pamoja na lile la ngao ya hisani [emoji1][emoji1]Hana hatari
Hatari anayo refa
Niongeze na Mimi mkuuMpaka hapo Odds zinaonyesha huu mpira waweza isha kwa draw pia Dish kuyumba team yenye watu wawili tu wenye akili Mzee Manara na Kikwete ikipewa nafasi ya kuibuka mshindi.
Msamehe..Refa kampa magoli yote 11 [emoji23][emoji23] pamoja na lile la ngao ya hisani [emoji1][emoji1]
Pole kwa kuteseka.Ila Utopolo mmebebwa mpaka aibu..huyu Refa sijui mmempa sh ngapi!!li Manara linajifanya kulalamika watu kupendelewa wakati yenyewe ndio inabebwa.. shenxi kabisaaa
MkuuComment ya mwisho hii tukutane 30/04/2021
Save the date...
Mayele atakuwepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]
Leo wataweweseka sanaMkuu
Hawalali usingizi Hawa jamaa
We chizi ukapimwe. Ile beki wa azam kanawa ndani ya box inapetwa huoni?Ila Utopolo mmebebwa mpaka aibu..huyu Refa sijui mmempa sh ngapi!!li Manara linajifanya kulalamika watu kupendelewa wakati yenyewe ndio inabebwa.. shenxi kabisaaa
Pole, ndugu kwa mteseko.Sure boy alionekana anaongea na aggrey moris kwa sure boy kubana mdomo Mara tu baada ya goli kuingia
Kama vile anamtonya kitu
Ndio ni mchezaji bora lakini ligi yetu pia dhaifu. How mfungaji kama huyo unapigwa mpira uliokufa alafu yupo free? Alipaswa kuwa na mtu ambaye assignment yake muda kama huo ni man to man.Tatizo unamchukia mayelee na ndo forward hatari kuwahi kutokea tz bongo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]