Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Natamani kolo mmoja aimbe kale kawimbo hawaamini macho yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]
 
Hana hatari

Hatari anayo refa
Da mzee una gubu itabidi uombewe na mwamposa!!!. Kwahiyo hilo goli la mayele ni la mchongo? Ahahahahahhahahahhahahahah
Mi ni ya___ngaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]
 
Mpaka hapo Odds zinaonyesha huu mpira waweza isha kwa draw pia Dish kuyumba team yenye watu wawili tu wenye akili Mzee Manara na Kikwete ikipewa nafasi ya kuibuka mshindi.
Niongeze na Mimi mkuu

Tuwe na akili watu watatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Comment ya mwisho hii tukutane 30/04/2021
Save the date...
Mayele atakuwepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]
 
Ila Utopolo mmebebwa mpaka aibu..huyu Refa sijui mmempa sh ngapi!!li Manara linajifanya kulalamika watu kupendelewa wakati yenyewe ndio inabebwa.. shenxi kabisaaa
Pole kwa kuteseka.

Tulianza kubebwa kuanzia kwenu kwenye ngao ya hisani huyohuyo usiyempenda akawatoboa.
 
Comment ya mwisho hii tukutane 30/04/2021
Save the date...
Mayele atakuwepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]
Mkuu

Hawalali usingizi Hawa jamaa
 
Refa ana hatari huyu hii mbeleko ya chuma aliyowabebea vyura itawaumiza mbeleni,
Ila mnaupiga mwingi Watani poa tu mmejitahidi sana!

Keleeeee Kwa vyuraaaaaaaaaaa!

Athletico de Utopolo of Jang Wani!
😁😁😁😁😁🔥🔥🔥
 
Vilareal 1 vs 0 Bayern. Champions League.

Hawa Villa nao ni kama Azam tu🤣
 
Ila Utopolo mmebebwa mpaka aibu..huyu Refa sijui mmempa sh ngapi!!li Manara linajifanya kulalamika watu kupendelewa wakati yenyewe ndio inabebwa.. shenxi kabisaaa
We chizi ukapimwe. Ile beki wa azam kanawa ndani ya box inapetwa huoni?
 
Tatizo unamchukia mayelee na ndo forward hatari kuwahi kutokea tz bongo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio ni mchezaji bora lakini ligi yetu pia dhaifu. How mfungaji kama huyo unapigwa mpira uliokufa alafu yupo free? Alipaswa kuwa na mtu ambaye assignment yake muda kama huo ni man to man.

Kafunga goli chache za kutumia akili na nguvu lakini nyingi ni poor defence za timu nyingi zinakutana na mtu makini kama yeye. Huyu angekuwa enzi zile za kukaba hadi kivuli kama akina Salum Kabunda achomoki
 
Back
Top Bottom