Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu Mayele alikukosea nini?Anapoteza muda sasa
Kaka una undugu na Bambo?Katika wachezaji wa Yanga ambao siwapendagi ni Mauya. Mshenzo Sana
Endelea kuwa support,ni muhimu sana,huku ukitetemaHuko kuna mchezaji wetu Abra kadabra lazima tumsapoti
Sijapenda kabisaKaka una undugu na Bambo?
Nikikumbu hizi kejeli nacheka sanaLeo mlango wa gundu unafunguliwa rasni.
Nafasi ya kwanza ana point 51 halafu nafasi ya tatu ana point 28!!!? Hii league haina usawa kabisa bora ifutwe tuu[emoji23]Leo kutakuwa na Mtanange wa Kukata na Shoka kati Azam Fc na Yanga SC.
.
Wakuu mechi hii itaanza majira ya saa 2:15 usiku Uwanja wa Chamazi Complex.
.
Tunajua ugumu wa game hii ya leo Ukizingati timu hizi zinapokutana hupigwa mpira wa nguvu sana.
.
Azam FC ni Mwenyeji wa Mchezo wa Leo Dhidi ya Yanga.
.
Huku Team Ya Yanga ikiwakosa Wachezaji wake kama Feisal Salum, Bangala, Aucho nk.
==================================
YANGA YAIFUNGA AZAM FC 2-1, YAFIKISHA POINTI 51
Yanga wameendelea kujiimarisha katika kilele cha Ligi Kuu Bara baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex, Aprili 6, 2022.
Yanga imepata mabao yake kupitia wa Djuma Shaban kwa njia ya penati na Fiston Mayele, bao la Azam FC limefungwa na Rodgers Kola.
Yanga imefikisha pointi 51 wakati Azam FC imebaki na pointi 28 katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi.
ndio shida ya kuamini babu zenu hii saa zingine mnapotezwaAzam 2 yanga a.k.a utopolo 0
Imekuwa inverse 💥Azam fc leo anapiga mtu sio chini ya 2 kwa 1
Azam wamezingua. Mayele yupo moto saana anajuaImekuwa inverse 💥
Tutazipiga zengwe..Hahahaaa. Na hapa kelele hatujazianza Binamu.
Naamini wakati ukifika mtaomba sever za Jf zikorofishe. 😀😀😀😀