Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Ndio ni mchezaji bora lakini ligi yetu pia dhaifu. How mfungaji kama huyo unapigwa mpira uliokufa alafu yupo free? Alipaswa kuwa na mtu ambaye assignment yake muda kama huo ni man to man.

Kafunga goli chache za kutumia akili na nguvu lakini nyingi ni poor defence za timu nyingi zinakutana na mtu makini kama yeye. Huyu angekuwa enzi zile za kukaba hadi kivuli kama akina Salum Kabunda achomoki
Huu nao ni mtazamo wako tu
 
Mtazamo ww ni miongoni mwa watu wanaoheshimika humu JF ushabiki usikuondolee credibility uliyonayo
Ujue ukipatwa na Presha au tatizo fulani unaweza kujiuliza hata kwa mtoto wa miaka mitano!

Kufungwa kubaya mkuu, akili huwa zinatoka mkuu miaka fulani boss wangu aliwahi vunja kioo Cha gari lake kisa kafungwa ni mtu anayeheshimika hapa nchini

Tangu siku ile alipunguza mahaba yalopitiliza
 
Huyu Mayele anaendelea kuwaziba midomo wachambuzi maandazi waliombeza mwanzoni mwa msimu.

[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji172][emoji169]
Kabisa

Na Kuna uzi humu ulionesha kumbeza sana
 
Ndio ni mchezaji bora lakini ligi yetu pia dhaifu. How mfungaji kama huyo unapigwa mpira uliokufa alafu yupo free? Alipaswa kuwa na mtu ambaye assignment yake muda kama huo ni man to man.

Kafunga goli chache za kutumia akili na nguvu lakini nyingi ni poor defence za timu nyingi zinakutana na mtu makini kama yeye. Huyu angekuwa enzi zile za kukaba hadi kivuli kama akina Salum Kabunda achomoki
Hizo hizo poor defense Bocco, Kagere na Sakho wameshindwa kuzifunga
 
Makolo B tumeshawachapa kikatili sasa tunawataka wale wazururaji wana point zetu 3 tunazitaka
 
Azamu ni timu ya showgame tu. Ya chenga twawala.
Na kubandikwa matangazo ya unga.

Bosi akichoka anaangalia video clips zake na kufurahi.
Ndio malengo ya timu ya Azamu.
 
Back
Top Bottom