Kwanini usiende kuingia wewe??Huyu Sure boy nahisi yupo kutuchomesha anapoteza pasi nyingi sana.
Ni sawa mkuu,Dah! Bora hata wangekosekana Fei Toto na Aucho! Ila siyo Yannick Bangala! Pengo lake likobwazi kabisa! Zawadi Mauya anapuyanga tu kule nyuma. Wakati mwingine anaona bora awapasie wapinzani mpira!
Juma Shabani naye ufather mwiiingi! Upande wake ndiyo umegeuka kuwa uchochoro. Bakary Mwamnyeto ni nahodha, lakini hata kujipanga hakui! I wish Deus Kaseke angeanza badala ya Ambundo na Nkane, ambao kimsingi siyo wakabaji timu ikiwa inashambuliwa.
Wewe kolo sio.?Kwanini usiende kuingia wewe??
Hamuishiwi manenoMsaada tutani..
Utopolo wote semeni...KAZI IENDELEE
Waashe wazungumzeHamuishiwi maneno
Akili za nini kwani mi mwanafunzi?Huna akili masta
Bangala inabidi aingie licha ya tatizo la viungo mabeki nao wamepoteana, nadhani Kaseke hii mechi inamhusu kuliko hawa madogo wa pembeni.Umewaza Kama Mimi mkuu
Lalama Tu MzeeReferee wa mchongo anatoa foul za michongo.
Labda anadhani upo chumba cha mtihani hapo Chamazi🤣Akili za nini kwani mi mwanafunzi?
Refaa kapewa chake mapema.Yanga anabebwa