Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Dah! Bora hata wangekosekana Fei Toto na Aucho! Ila siyo Yannick Bangala! Pengo lake likobwazi kabisa! Zawadi Mauya anapuyanga tu kule nyuma. Wakati mwingine anaona bora awapasie wapinzani mpira!

Juma Shabani naye ufather mwiiingi! Upande wake ndiyo umegeuka kuwa uchochoro. Bakary Mwamnyeto ni nahodha, lakini hata kujipanga hakui! I wish Deus Kaseke angeanza badala ya Ambundo na Nkane, ambao kimsingi siyo wakabaji timu ikiwa inashambuliwa.
Ni sawa mkuu,
Katikati hakuna kiungo kabisa
 
Back
Top Bottom