Azam fc kubaki na Fei Toto ni hasara kwao kuliko faida

Azam fc kubaki na Fei Toto ni hasara kwao kuliko faida

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto.

Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei kujiunga na timu.

Azam ingemuuza Fei ili kupata faida kuliko kung'ang'ania mchezaji ghali ambae haongezi thamani ya timu.
 
Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto. Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei kujiunga na timu.

Azam ingemuuza Fei ili kupata faida kuliko kung'ang'ania mchezaji ghali ambae haongezi thamani ya timu.
Plus kama wakimng'ang'ania Sana mwisho WA msimu ataondoka bure..Azam hawajitambui
 
Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto. Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei kujiunga na timu.

Azam ingemuuza Fei ili kupata faida kuliko kung'ang'ania mchezaji ghali ambae haongezi thamani ya timu.
naunga mkono hoja 🤝


cc. GENTAMYCINE 🐒
 
matokeo wanayopata Azam kwenye ligi na CAF wanaweza kuyapata hayohayo hata bila ya Fei kuwepo kwenye timu. Walikuwa wakipata matokeo na nafasi hiihii wnayopata hata kabla ya Fei kuhamia kwao.
Rejea mechi ya Taifa Vs Morocco utajua Fei ni mchezaji mzuri.

Tatizo Bhakress hataki kumwaga mpunga wa maana ni kama amredhika na uwezo wa timu yake
 
Fei angekuwa Simba au Yanga angeziongezea thamani kubwa timu hizo kuliko anavyokuwa Azam. Thamani yake ilikuwa kubwa sana alipokuwa Yanga kuliko anavyokuwa azam.
uko sahihi 100%,

na tangu amejiunga AzamFC hajawahi kupata chemistry ya wachezaji ambao wame mu-upgrade walau kuzidi hata kidogo tu ya kiwango alichokua nacho Yanga kabla ya kwenda AzamFC.

huenda,
tathimini ya AzamFC dhidi ya mchango na thamani ya Fei Toto nayo inachangamoto.

Wakala wa Fei Toto na Fei Toto mwenyewe wanaenjoy na kufaidika zaidi kuliko faida wanayopata AzamFC kutokana na products za Fei Toto kwenye club hiyo 🔥
 
Fei haitaki Yanga, anaitaka Simba,
Na Bakhresa anataka km fei kutoka basi aende Yanga,

Yeye kaamua bora abaki chamazi.

Povu ruksaa, 😂😂😂
 
Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto.

Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei kujiunga na timu.

Azam ingemuuza Fei ili kupata faida kuliko kung'ang'ania mchezaji ghali ambae haongezi thamani ya timu.
Tayari kauzwa yanga,wanasubiri kumtangaza tu
 
Fei haitaki Yanga, anaitaka Simba,
Na Bakhresa anataka km fei kutoka basi aende Yanga,

Yeye kaamua bora abaki chamazi.

Povu ruksaa, 😂😂😂
Azam fc ni sawa mwanaume hanithi aliyeoa mke mzuri sana ambae anamsadia kupika na usafi tu chumbani. Fei hajaongeza
 
Nadhani hujui maana ya timu (Team). Timu siyo mtu mmoja bali na grupu la watu wenye lengo moja. Fei toto ni mtu mmoja tu ndani ya timu,
Ni kama Mbeya city imsajili pacome kwa pesa nyingi na kumlipa mshahara mkubwa. Azam inaona fahari kuwa na Fei na Fei anaona fahari kulipwa pesa nuingi. Resultant zero.
 
Back
Top Bottom