Azam fc kubaki na Fei Toto ni hasara kwao kuliko faida

Azam fc kubaki na Fei Toto ni hasara kwao kuliko faida

Azam wanataka ukiitaja Fei Toto basi umeitaja Azam, yaani wao kwao Fei ndio icon yao, au ndio silaha yao kuu ya kutishia adui

Ni kama miaka Ile ya 90's Napoli inamliki Diego Maradona ,wakawa wanajivunia kuwa na Diego ndio Azam wanajivunia kuwa na Fei ndugu yao
 
Back
Top Bottom