Azam FC mpeni timu huyu mzawa

Azam FC mpeni timu huyu mzawa

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Kwa misimu mingi klabu ya Azam FC inahangaika sana kupata kocha atakayeifanya Azam iwe klabu tishio uwanjani.

Kwa maoni yangu kuna makocha wawili wazawa ambao wakipewa hii timu ya Azam wanaweza kuiletea mafanikio makubwa sana.

1. Fred Felix Minziro "Kataraiya Majeshi Baba Isaya"

Minziro ni moja ya makocha bora sana kwa sasa kwenye ligi yetu ya NBC. Akipewa timu ya Azam na wachezaji waliopo kwa sasa anaweza kufanya "kitu cha kuonekana".

2. Meck Mexime
Mexime ameibadilisha Kagera sugar kwa kipindi kifupi sana na "ameifufua".

Azam FC nawashauri Januari hii mpeni timu mmoja wa makocha hao. Lakini pia itakua faida kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 23/24 maana msimu huu wa 22/23 tayari mmeonekana kufeli pakubwa.

Kwa sasa Azam haina kocha anayemzidi uwezo Minziro wala Mexime.

FB_IMG_16734466282337884.jpg
FB_IMG_16734466601408380.jpg
 
Wao wanahangaika kusaka kocha mzungu, jamaa wana kila kitu ila wanafeli sana kwa kuendekeza chawa
 
Mexime sijui Nini ila jamaa ni top kocha kwa Tanzania tena akiwa na timu nzuri na kombe anakupa ila bado nasema Azam kama wanaweza wachukue na managerial team ya Singida.
 
Kwa misimu mingi klabu ya Azam FC inahangaika sana kupata kocha atakayeifanya Azam iwe klabu tishio uwanjani.

Kwa maoni yangu kuna makocha wawili wazawa ambao wakipewa hii timu ya Azam wanaweza kuiletea mafanikio makubwa sana.

1. Fred Felix Minziro "Kataraiya Majeshi Baba Isaya"

Minziro ni moja ya makocha bora sana kwa sasa kwenye ligi yetu ya NBC. Akipewa timu ya Azam na wachezaji waliopo kwa sasa anaweza kufanya "kitu cha kuonekana".

2. Meck Mexime
Mexime ameibadilisha Kagera sugar kwa kipindi kifupi sana na "ameifufua".

Azam FC nawashauri Januari hii mpeni timu mmoja wa makocha hao. Lakini pia itakua faida kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 23/24 maana msimu huu wa 22/23 tayari mmeonekana kufeli pakubwa.

Kwa sasa Azam haina kocha anayemzidi uwezo Minziro wala Mexime.

View attachment 2477530View attachment 2477531
Hawa wana utopolo. Hizi ni njama za uto Azam shitukeni.Wanataka kulipiza kisasi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom