Azam FC mtoeni Dube kama mlivyomchukua Fei

Kwani Azam wamekataa kumtoa?

Wamesema atoe hicho kiasi ambacho kimeelezwa kwenye termination of contract.

Yanga kumbuka walirudisha ile pesa ya Feisal ya kuvunja mkataba maana yake hawakutaka.

Azam wako tayari na kinachosubiriwa ni mchezaji kutoa hicho kiasi then akatafute maisha mengine.
 
kama ingekuwa hivyo TFF ingemsaidia haraka na mapema kabisa kuhama. Mbona Azam walijificha?
 
Vyura mnadhani mkataba wa Dube na Azam ni wa hovyo kama ule mlioingia nyie na Fei?

Mkataba wenu na Fei ulikuwa na loopholes kibao zilizotumiwa na Fei kuwatandika viboko.

Sasa msijidanganye ujinga wenu wa kuweka terms kwenye mikataba ndio wanao Azam.

Muwe mnatumia akili kidogo, sio mnaimba tu kama kasuku Azam na nyie muachieni Dube, huo ndio utaratibu wa wapi?

Msidhani timu nyingine ni wajinga kama nyie kweye suala la mikataba na wachezaji wao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kama ingekuwa ndio hivyo basi ungewaona Azam wanaenda TFF kumshtaki Dube.

Walivyofanya Azam ndio Clubs professional zinavyo operate.

Hakuna mkataba usio vunjika.

Alipe hizo hela then, he's free to go.

Nobody is holding him as hostage
 
Kama ungekuwa na loopholes TFF wasingeshindwa kumhamisha na Azam wasingejificha kumtaka Fei. Mbona hawakwenda CAF Wala cas? Ukweli njia ileile iliyotumika kutatua tatizo la Fei lazima itumike kwa dube pia; presidency. Fei mtanzania alisaidiwa na Rais, je, dube mzimbabwe atasaidiwa na nani kwenye shida inayofanana na ya Fei? Busara na maagizo vitumike.
 
Mchezaji Hana furaha kucheza Azam, wale wachambuzi, mawakala na wanasheria waliokuwa wanamtetea Fei wako wapi kwenye hili? maana yanafanana kabisa. Vinginevyo mchezaji atakaa na kulipwa kwa misimu 2 bila kucheza.
 
Na kwa Dube nani kajificha? Azam wapo straight. LETA FEDHA KIASI HICHI. Umejificha au ni mchezaji mwenyewe anataka kuondoka ujumbe upo clear. AZAM karudisha mpira mhusika acheze.
Hata Yanga walisema kuwa anaemtaka Fei aje lakini ikawa kimyaaa!! Hadi Rais alipotoa agizo.
 
Kama ingekuwa ndio hivyo basi ungewaona Azam wanaenda TFF kumshtaki Dube.

Walivyofanya Azam ndio Clubs professional zinavyo operate.

Hakuna mkataba usio vunjika.

Alipe hizo hela then, he's free to go.

Nobody is holding him as hostage
Wacha tuone, waenndelee kumlipa TU bila kucheza, maana huwezi kumlazimisha mchezaji acheze Wala kumpeleka kwa mkopo kwenye timu ambayo mchezaji haipendi.
 
Inategemea na mkataba unasemaje.

Mchezaji ambaye hana majeraha na hajumuiki kwenye mazoezi na wenzake wala mechi hashiriki anachukuliwa hatua za kinidhamu.

Cha msingi ni yeye kulipa hiyo hela then atimke.

Nje na hapo anaweza kujikuta kwenye hatari ya kufungiwa kucheza mpira na CAS
 
Vyura mnadhani mkataba wa Dube na Azam ni wa hovyo kama ule mlioingia nyie na Fei?

Mkataba wenu na Fei ulikuwa na loopholes kibao zilizotumiwa na Fei kuwatandika viboko.

Sasa msijidanganye ujinga wenu wa kuweka terms kwenye mikataba ndio wanao Azam.

Muwe mnatumia akili kidogo, sio mnaimba tu kama kasuku Azam na nyie muachieni Dube, huo ndio utaratibu wa wapi?

Msidhani timu nyingine ni wajinga kama nyie kweye suala la mikataba na wachezaji wao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
hebu tuorodheshee hizo loopholes we mbw*
 
Kama ungekuwa na loopholes TFF wasingeshindwa kumhamisha na Azam wasingejificha kumtaka Fei. Mbona hawakwenda CAF Wala cas? Ukweli njia ileile iliyotumika kutatua tatizo la Fei lazima itumike kwa dube pia; presidency. Fei mtanzania alisaidiwa na Rais, je, dube mzimbabwe atasaidiwa na nani kwenye shida inayofanana na ya Fei? Busara na maagizo vitumike.
Hivi unajua unachokiongea? Suala la fei lilikwama kwa sababu ya ushabiki pale tff, fei kasema hataki kuendelea kubaki yanga release clause kajilipia na mishahara ya miezi 3 kama sheria zinavyosema tff wanasema wakae mezani yanga na fei waongee yaan mtu hataki afu muongee😅 uliona wapi ndio Mama akamaliza
 
Hata Yanga walisema kuwa anaemtaka Fei aje lakini ikawa kimyaaa!! Hadi Rais alipotoa agizo.
Waje wapi wakati mchezaji alikuwa kashajilipia thamani yake 😅😅 yaan ukaongee na yanga wakati mchezaji ni free agent ( sometime huwa kuna ka ukweli flani ukiwa yanga fan kuna nati flani huwa hazikazi vizuri)
 
Inategemea na mkataba unasemaje.

Mchezaji ambaye hana majeraha na hajumuiki kwenye mazoezi na wenzake wala mechi hashiriki anachukuliwa hatua za kinidhamu.

Cha msingi ni yeye kulipa hiyo hela then atimke.

Nje na hapo anaweza kujikuta kwenye hatari ya kufungiwa kucheza mpira na CAS
Atacheza chini ya kiwango na kutumia kila wakati na kuumwa kila siku utamfanya nn? Hivi unajua Donald ngoma mzimbabwe mwenzake alikwendaje Azam kutoka Yangà?
 
Hivi unajua unachokiongea? Suala la fei lilikwama kwa sababu ya ushabiki pale tff, fei kasema hataki kuendelea kubaki yanga release clause kajilipia na mishahara ya miezi 3 kama sheria zinavyosema tff wanasema wakae mezani yanga na fei waongee yaan mtu hataki afu muongee😅 uliona wapi ndio Mama akamaliza
Dube Kasema hataki kucheza Azam, unamwambia alipe 700,000,000 ili aondoke. Hivi Kuna mchezaji wa sh. 700m pale Azam? Hivi kama Fei angeuzwa kwa ,700m SI angeendelea kubaki Yanga hata kama hapendi kubaki Yanga? Hiyo bei ya 700,000,000 Haina uhalisia, ni kumfanya mchezaji acheze Azam hata kama hataki (mtumwa).
 
Back
Top Bottom