kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #101
Mkataba wa Yanga kwa Fei na Azam kwa Dube ilikuwa tofauti. Fei alikwama kwa kuwa mkataba wake haukuwa kurudisha TU fedha ili kuvunjika na mkataba wa Dube ni kurudisha TU fedha na kuondoka. Hivyo ni mikataba 2 tofauti.Hizi hazifanani mkuu Yanga waliludisha Azam wao wanataka pesa dube awe huru aondoke Yanga wao walikuwa wanataka mchezaji ila syo pesa huoni ni vitu viwili tofauti ?? Mkuu