Azam FC mtoeni Dube kama mlivyomchukua Fei

Azam FC mtoeni Dube kama mlivyomchukua Fei

Ila we jamaa kumbe hujui kitu, hebu niambie yanga ilimwita nani kumwambia bei halisi ya fei? Nani aliitwa nimekumbia hivi thamani ya mchezaji inakuwa kwenye mkataba wake sasa fei yeye ilikuwa ni m 100 tu hela ambayo fei aliweza kuilipa,
Kipindi fei kalipa viongozi wa yanga wakapiga kelele oooh hajafuata utaratibu ooh tunaenda FIFA, sasa tff walipobugi kwa sababu ya ushabiki wanamwambia eti we fei ni mali ya yanga eti kaeni myamalize, myamalize wapi wakati mchezaji kashasema hataki kuwepo yanga, ndio hapo maza akaingilia kuwambia yanga msigombane na katoto kadogo kameshawapa chenu acheni kasepe. Sasa tofauti yenu na azam ni hii dube kaandika barua ya kuomba kuvunja mkataba kaambiwa alipe dola laki tatu asepe ..... umeshakia azam wamekimbilia tff? au fifa na mama
Huyu ndio mwakilishi halisi wa ile kauli wenye akili ni wawili
 
Kwani Azam wamekataa kumtoa?

Wamesema atoe hicho kiasi ambacho kimeelezwa kwenye termination of contract.

Yanga kumbuka walirudisha ile pesa ya Feisal ya kuvunja mkataba maana yake hawakutaka.

Azam wako tayari na kinachosubiriwa ni mchezaji kutoa hicho kiasi then akatafute maisha mengine.

$ 300,000 si kuonyesha dhahiri hawataki kumuachia
 
Kama alivyopatikana Feisal ndivyo apatikane na Dube. Mbona ninyi mlizingua kumwachia Fei? Afuate matakwa ya mkataba

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Yanga walinyooka kwenye jambo la Fei toto lakini Azam aliongea na mchezaji kinyume na taratibu za mpira. Azam walikuwa na Nia ovu kwa Yanga ilipokuwa inakwribia mechi Yao dhidi ya Yanga. Kwa kosa Hilo ndio maana walikuwa wamejificha hata pale walipoitwa na Yanga. TFF wenye mpira wao iliwapa Yanga haki ili kuepuka vitendo vya kihuni kama vile kujitokeza tena huko mbele. Washauri wa Rais walishindwa kumshauri Rais kwenye jambo lile, wakamwingiza mkenge. Dube nae katembelea uchochoro uleule wa Azam na Fei toto, utamkatalia vipi?
 
Utopolo Kuna viazi hamna mwenye akili hata mmoja unajidhalilisha IQ ndogo
Kama unatafuta viazi basi viazi vipo TFF ambao waliwapa Yanga haki kwenye sakata lile. Azam walifanya kosa la kuongea na mchezaji mwenye mkataba na timu nyingine, na taratibu za kuuvunja mkata wa fei zilikiukwa na waliokuwa wanamrubuni Fei hawakujitokeza hadi kwa maagizo ya Rais wa nchi. Kiazi ni wewe kaka tena umechanganya na hogo. Unataka ifahamike kwa masakata ya Fei na Dube hayafanani, huo ndio ukiazi wenyewe ulionao.
 
Kwa hiyo kama mchezaji akisema hana furaha kuchezea timu fulani ndio aachiwe bila kufuata taratibu za kimkataba?. Fei toto mbona alisema hivyo hivyo na bado mkamng'ang'ania?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Fei angekuwa na haki TFF, CAF na CAS wangemruhusu asepe, mbona walikwenda kwa Rais wa nchi?
 
Hujui unachoandika, kinacho matter hapa sio suala la Fei kusaidiwa na nani, na Dube asainiwe na nani..

Kinacho matter hapa ni mambo ya terms za kwenye mkataba, ukisema suala la Fei na Dube yanafanana, una hakika terms za kwenye mikataba ya hao wachezaji wawili zinafanana? unataka kusema tukichukua mkataba wa Fei na Yanga utakuwa unafanana kila kitu na huu wa Dube na Azam?

Hili haliwezekani, namaanisha halipo, na kwasababu halipo, ndio maana ninawaambia wewe na wenzako muache huu utoto mnaofikiria, na ninajua pia, inawezekana huyo jini aliyemtuma Dube kuanzisha hili zogo ana akili mbovu kama zenu, anachowaza yeye ni kutaka kulipa kisasi kwa Azam tu, asijue kama terms za kwenye mkataba wa Dube na Azam zinawawezesha nyie kulipa hicho kisasi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mikataba yote ya Fei na Dube inavyo vipengele vya kuvunja mkataba ambavyo ni lazima vifuatwe kikamilifu, Fei alishindwa kuvifuata na Dube anashindwa kuvifuata, wote wanashindwa kuvifuata ili wawe huru. kama Fei alisaidiwa ni kwanini Dube asisaidiwe pia, na mwingine na mwingine. Ndio maana sisi wenye akili ndefu tulipinga namna Fei alivyosaidiwa kuvunja mkataba wake na Yanga, tulijua kuwa tunafungua box ambalo tutashindwa kulifunika huko mbeleni.
 
Haya, asipotokea mtu wa kulipa US3500 kipi kitatokea?
Mchezaji anaendelea kutumikia mkataba wake. Mkuu ulienda shule kweli? Unataka Azam wamuache bure? Ni mkataba sheikh na alisaini.
 
Mikataba yote ya Fei na Dube inavyo vipengele vya kuvunja mkataba ambavyo ni lazima vifuatwe kikamilifu, Fei alishindwa kuvifuata na Dube anashindwa kuvifuata, wote wanashindwa kuvifuata ili wawe huru. kama Fei alisaidiwa ni kwanini Dube asisaidiwe pia, na mwingine na mwingine. Ndio maana sisi wenye akili ndefu tulipinga namna Fei alivyosaidiwa kuvunja mkataba wake na Yanga, tulijua kuwa tunafungua box ambalo tutashindwa kulifunika huko mbeleni.
Kumbuka Fei alideposit hela 112m Yanga wakazirudisha. Usisahau hilo.
 
Mchezaji anaendelea kutumikia mkataba wake. Mkuu ulienda shule kweli? Unataka Azam wamuache bure? Ni mkataba sheikh na alisaini.
hawawezi kumuacha bure, win-win lazima iwepo lakini sio 700m. mchezaji hana quality hiyo kwa sasa. Vinginevyo, Azam hawatapata huduma ya Dube, wataendelea kumlipa au watamfukuza. TFF, CAF na FIFA wanayo majibu ya swali kama hili. Just weight and see. Mchezaji sio mtumwa kama hakutaki hakutaki tu atakaa benchi hadi lini?
 
Kumbuka Fei alideposit hela 112m Yanga wakazirudisha. Usisahau hilo.
hata kurudisha fedha kuna kwata (drill) yake. Huwezi kurudisha fedha kama vile unarudisha viatu ulivyoviiba msikitini. Faisal aliikosea hiyo drill ndiyo maana ilimsumbua.
 
hawawezi kumuacha bure, win-win lazima iwepo lakini sio 700m. mchezaji hana quality hiyo kwa sasa. Vinginevyo, Azam hawatapata huduma ya Dube, wataendelea kumlipa au watamfukuza. TFF, CAF na FIFA wanayo majibu ya swali kama hili. Just weight and see. Mchezaji sio mtumwa kama hakutaki hakutaki tu atakaa benchi hadi lini?
Haya sasa ni makubaliano. Za chini ya kapeti Dube alipeleka 150,000 [emoji385] Azam wamekataa labda ikifika 200,000 au 250,000 [emoji385] watakubali. Know knows.
 
Mchezaji anaendelea kutumikia mkataba wake. Mkuu ulienda shule kweli? Unataka Azam wamuache bure? Ni mkataba sheikh na alisaini.
Kocha ampange basi kwenye mechi yake vs Yanga tuone.
 
Haya sasa ni makubaliano. Za chini ya kapeti Dube alipeleka 150,000 [emoji385] Azam wamekataa labda ikifika 200,000 au 250,000 [emoji385] watakubali. Know knows.
700m unamnunua Percy Tau?!!
 
$ 300,000 si kuonyesha dhahiri hawataki kumuachia
Mkuu hata Azam wangemvunjia mkataba dube nao walitakiwa walipe hivyo, hiyo ni kwa yoyote yule atakayevunja mkataba.
 
Back
Top Bottom