Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo kwa ujuaji nimewashindwa aiseee 😂😂😂😂Kama mkataba wa Dube ungekuwa hivyo US3000 wakala wake asingekubali Dube atie sahihi. Mkataba kama huo maana yake mchezaji angekuwa analipwa TZS 100,000,000 kila mwezi.
soko lao linaruhusu hayo kufanyika (demand and supply, purchasing power, marginal cost, equilibrium, elasticity, etc.). Sisi soko letu ni dogo na linaruhusu busara kutumika kwenye football.Bongo kwa ujuaji nimewashindwa aiseee 😂😂😂😂
Mkuu hio hapa ni sheria gani umetumia 🤔 release clause ya Vini Jr ni €1B, kwa hio Vin Jr analipwa €333M kwa mwezi ? 🤔😂😂😂😂 Acha kunywa kahawa na wazee kijana watakupotosha 😂😂😂😂
Mzee usitie maneno kwenye pesa,soko lao linaruhusu hayo kufanyika (demand and supply, purchasing power, marginal cost, equilibrium, elasticity, etc.). Sisi soko letu ni dogo na linaruhusu busara kutumika kwenye football.
Mzee usitie maneno kwenye pesa,
Hakuna mahali kwenye pesa panapowekwa maneno, mkataba uheshimiwe, pesa itolewe, hizo busara zitatumika wakati wa kusolve matatizo ya michepuko, huku kwingine usilete maneno/busara sehemu ya pesa. Kama huna pesa pita hivi simple as that
Azam wanaiandama Yanga tangu iundwe. Sijui ni kwasababu ya usimba na uyanga au kwasababu wanazo hela?
Yanga ndio wanawahitaji Azam kuliko Azam wanavyowahitaji Yanga,hivi juzi tumeona wazee wa Yanga wakitangaza kususia bidhaa za Azam,matokeo yake mmeona hata uwanja mnatumia wa AzamAzam wanaiandama Yanga tangu iundwe. Sijui ni kwasababu ya usimba na uyanga au kwasababu wanazo hela?
Tunakumbuka matukio ya Obre Chirwa, Donald Ngoma, Ngassa, Sure boy, Yanick na Juma, Kavumbagu, Fei na pengine Dube. Mara zote wanawaza kuibomoa yanga na sio simba. hakuna mchezaji wanamchukua kutoka Simba ila kuna wachezaji wanaotoka Azam kwenda Simba. Dhambi hii kwa timu yenye wafuasi wengi sana nchini kama yanga lazima itawatafuna wapende wasipende. Kuna vitu huwezi kuvipata kwa pesa zako hata kama unazo nyingi sana. Na Iko siku Yanga itakataa udhamini wa Azam kwa lolote lile huko mbeleni huko kama Azam wakiendelea na mambo ya kitoto wa kuihujumu yanga kama vile simba walivyokataa udhamini wa GSM hata kama TFF ilikubali (presidency) . Nimekaa paleee.
ulikuwa msimamo ambao hakuungwa mkono na uongozi na mashabiki wa Yanga. Mashabiki wakisema bidhaa za Azam ni haram kwao utawafanya nini. akili yako ikutangulie mbeleYanga ndio wanawahitaji Azam kuliko Azam wanavyowahitaji Yanga,hivi juzi tumeona wazee wa Yanga wakitangaza kususia bidhaa za Azam,matokeo yake mmeona hata uwanja mnatumia wa Azam
Dube aende cas kamwe hauwezi kusikia msaada kwa mzimbabwe, kiwango chake kikifa hakuna athari kwa taifa letuMikataba yote ya Fei na Dube inavyo vipengele vya kuvunja mkataba ambavyo ni lazima vifuatwe kikamilifu, Fei alishindwa kuvifuata na Dube anashindwa kuvifuata, wote wanashindwa kuvifuata ili wawe huru. kama Fei alisaidiwa ni kwanini Dube asisaidiwe pia, na mwingine na mwingine. Ndio maana sisi wenye akili ndefu tulipinga namna Fei alivyosaidiwa kuvunja mkataba wake na Yanga, tulijua kuwa tunafungua box ambalo tutashindwa kulifunika huko mbeleni.
ulikuwa msimamo ambao hakuungwa mkono na uongozi na mashabiki wa Yanga. Mashabiki wakisema bidhaa za Azam ni haram kwao utawafanya nini. akili yako ikutangulie mbeleK
Kama mashabiki wa Yanga watasema kuwa bidhaa za Azam ni haramu nina uhakika kuwa JK na mzee Sunday Manara hawatakuwa miongoni mwao.ulikuwa msimamo ambao hakuungwa mkono na uongozi na mashabiki wa Yanga. Mashabiki wakisema bidhaa za Azam ni haram kwao utawafanya nini. akili yako ikutangulie mbele
Ana miaka 4 Azam bila kupata hata kikombe cha kunywea mbege, hakuna mchezaji mwenye malengo anaependa hivyo, na bahata mbaya viongozi wa Azam wanashabikia Simba na Yanga kwa vitendo na kwa kumaanisha. Wachezaji walioipa Simba mafanikio wengi wamepewa na Azam. Yaani Azam inaipa Simba wachezaji muhimu halafu wao wanabakia na kengele tu. Dube anavuja jasho uwanjani kwa miaka 4 bila kunyanya makwapa, pesa hainunui furaha. Wachezaji wa Azam ni kama vile wamefungiwa kabatini. Wachezaji kama Kipre jr, Akamiko, Yanick au Fei kucheza Azam ni kama wanacheza ndondo, hawaonekani nje ya mipaka (mshikemshike ndege tunduni).Dube aende cas kamwe hauwezi kusikia msaada kwa mzimbabwe, kiwango chake kikifa hakuna athari kwa taifa letu
Kwani nyie yanga mlisema ni kiasi gani kilipwe ili mkataba uvunjwe?Kama ungekuwa na loopholes TFF wasingeshindwa kumhamisha na Azam wasingejificha kumtaka Fei. Mbona hawakwenda CAF Wala cas? Ukweli njia ileile iliyotumika kutatua tatizo la Fei lazima itumike kwa dube pia; presidency. Fei mtanzania alisaidiwa na Rais, je, dube mzimbabwe atasaidiwa na nani kwenye shida inayofanana na ya Fei? Busara na maagizo vitumike.
Mbona Morrison Yanga ilikataa lakini TFF na CAS walimruhusu kuondoka, ilikuwaje washindwe kwa Fei hadi Rais aingilie kati? ina maana kuwa Fei alikiuka mambo kama vile Dube alivyofanya. Shida ya Dube alisaababishwa na Fei toto kuhamishwa kinyume na taratibu na kumfanya Dube nae atembelee mulemule. Kama Dube atashindwa kusaidiwa sawa na alivyosaidiwa TOTO mpira wetu utakumbwa na balaa kubwa. Azam wasisubiri mpaka Rais Samia awapigie simu au awaite Ikulu kuwaambia wanusuru kipaji cha kijana no matter what. Rais kashasema taasisi kubwa kama yanga, Azam na Simba haiwezi kugombana na kitoto kinachotafuta maandazi ya kunyea chai kwa kutumia nguvu na miguu yake. Isitoshe, Rais kasema kuna kodi haikusanyi kutoka kwao kwaajili ya kuendeleza vipaji vya vijana kwenye michezo. Wasisubiri hasira ya Rais, maana ni kama wanataka kumwambia kuwa Rais alikosea kwa Fei.Kwani nyie yanga mlisema ni kiasi gani kilipwe ili mkataba uvunjwe?
Fei aliwalipa pesa mliyoisema kwenye mkataba lakini mkazidi kuwa ving'ang'a
Narudia kipaji cha dube kama taifa kikifa hakuna athari kwetu Rais hawezi kufanya ujinga kuita azam kumsaidia foreigner player wapo wengi ila wa ndani wenye ubora ni wacheche hilo sahauMbona Morrison Yanga ilikataa lakini TFF na CAS walimruhusu kuondoka, ilikuwaje washindwe kwa Fei hadi Rais aingilie kati? ina maana kuwa Fei alikiuka mambo kama vile Dube alivyofanya. Shida ya Dube alisaababishwa na Fei toto kuhamishwa kinyume na taratibu na kumfanya Dube nae atembelee mulemule. Kama Dube atashindwa kusaidiwa sawa na alivyosaidiwa TOTO mpira wetu utakumbwa na balaa kubwa. Azam wasisubiri mpaka Rais Samia awapigie simu au awaite Ikulu kuwaambia wanusuru kipaji cha kijana no matter what. Rais kashasema taasisi kubwa kama yanga, Azam na Simba haiwezi kugombana na kitoto kinachotafuta maandazi ya kunyea chai kwa kutumia nguvu na miguu yake. Isitoshe, Rais kasema kuna kodi haikusanyi kutoka kwao kwaajili ya kuendeleza vipaji vya vijana kwenye michezo. Wasisubiri hasira ya Rais, maana ni kama wanataka kumwambia kuwa Rais alikosea kwa Fei.
Hizi hazifanani mkuu Yanga waliludisha Azam wao wanataka pesa dube awe huru aondoke Yanga wao walikuwa wanataka mchezaji ila syo pesa huoni ni vitu viwili tofauti ?? MkuuKama ungekuwa na loopholes TFF wasingeshindwa kumhamisha na Azam wasingejificha kumtaka Fei. Mbona hawakwenda CAF Wala cas? Ukweli njia ileile iliyotumika kutatua tatizo la Fei lazima itumike kwa dube pia; presidency. Fei mtanzania alisaidiwa na Rais, je, dube mzimbabwe atasaidiwa na nani kwenye shida inayofanana na ya Fei? Busara na maagizo vitumike.
Unadhani Rais ni mjinga kama wewe? Unadhani Rais hajui nini maana ya double standard? Unadhani Rais haijui sera yake ya mambo ya nje? Unadhani Rais hajui Zimbabwe ni nchi gani? Unadhani Rais hajui kama kuna ubalozi wa Zimbabwe hapa? Usiwe mjinga Rais wa nchi ni zaidi ya raia wa kawaida. Ndo maana SS hatuupenda Rais aingilie swala la Fei wakati ule kwakuwa tulijua nn kitakwenda kutokea huko mbeleni.Narudia kipaji cha dube kama taifa kikifa hakuna athari kwetu Rais hawezi kufanya ujinga kuita azam kumsaidia foreigner player wapo wengi ila wa ndani wenye ubora ni wacheche hilo sahau
Sasa tukubaliane Rais asipoingilia kati wewe ndio mjinga ,na Rais akiingilia kati mimi ndio mjinga,wanaume atuongei sana.Unadhani Rais ni mjinga kama wewe? Unadhani Rais hajui nini maana ya double standard? Unadhani Rais haijui sera yake ya mambo ya nje? Unadhani Rais hajui Zimbabwe ni nchi gani? Unadhani Rais hajui kama kuna ubalozi wa Zimbabwe hapa? Usiwe mjinga Rais wa nchi ni zaidi ya raia wa kawaida. Ndo maana SS hatuupenda Rais aingilie swala la Fei wakati ule kwakuwa tulijua nn kitakwenda kutokea huko mbeleni.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]hakuna kitu kibaya kama kuwa mpumbavu na mjinga,sijui huu upumbavu umerithi kutoka kwa mzazi gani?Vyura mnadhani mkataba wa Dube na Azam ni wa hovyo kama ule mlioingia nyie na Fei?
Mkataba wenu na Fei ulikuwa na loopholes kibao zilizotumiwa na Fei kuwatandika viboko.
Sasa msijidanganye ujinga wenu wa kuweka terms kwenye mikataba ndio wanao Azam.
Muwe mnatumia akili kidogo, sio mnaimba tu kama kasuku Azam na nyie muachieni Dube, huo ndio utaratibu wa wapi?
Msidhani timu nyingine ni wajinga kama nyie kweye suala la mikataba na wachezaji wao.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app