Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa iliyopita.
Inavoonekana ushauri (wosia) huo wameuweka pembeni ndo maana tunaona sasa ni kama 'academy' hivi.
Fikiria timuatimua ya wachezaji kama akina Manula, TV yao kuupa kipaumbele mchezo wa Simba na Yanga kuliko Azam na timu hizo kwa maana ya kuutangaza. Mechi ya Simba na Yanga itatangazwa na manjonjo kibao takriban wiki moja na zaidi kabla ya siku ya mechi ilhali mechi ya Azam na kati ya timu hizo labda siku moja au mbili tu.
Rejeeni ushauri (wosia) wa mzee Jakaya Kikwete mtafika mbali kisoka.