Azam FC wangeufuata ushauri wa Kikwete yasingewakuta haya.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa iliyopita.
Inavoonekana ushauri (wosia) huo wameuweka pembeni ndo maana tunaona sasa ni kama 'academy' hivi.
Fikiria timuatimua ya wachezaji kama akina Manula, TV yao kuupa kipaumbele mchezo wa Simba na Yanga kuliko Azam na timu hizo kwa maana ya kuutangaza. Mechi ya Simba na Yanga itatangazwa na manjonjo kibao takriban wiki moja na zaidi kabla ya siku ya mechi ilhali mechi ya Azam na kati ya timu hizo labda siku moja au mbili tu.
Rejeeni ushauri (wosia) wa mzee Jakaya Kikwete mtafika mbali kisoka.
 
Itawaghalimu basi, wasifukuze makocha kwa kujikosha.
Azam walibugi kuingiza matapishi yaliotoka huko simba na yanga.

Kwanza kitendo cha kuwaacha kina kapombe na kina Manila wengi kwa mkupuo kilionesha wazi uongozi alikuwa na tatizo kubwa.

Tukutane msimu ujao azam
 
Wakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa iliyopita.
Inavoonekana ushauri (wosia) huo wameuweka pembeni ndo maana tunaona sasa ni kama 'academy' hivi.
Fikiria timuatimua ya wachezaji kama akina Manula, TV yao kuupa kipaumbele mchezo wa Simba na Yanga kuliko Azam na timu hizo kwa maana ya kuutangaza. Mechi ya Simba na Yanga itatangazwa na manjonjo kibao takriban wiki moja na zaidi kabla ya siku ya mechi ilhali mechi ya Azam na kati ya timu hizo labda siku moja au mbili tu.
Rejeeni ushauri (wosia) wa mzee Jakaya Kikwete mtafika mbali kisoka.
Wale wanafanya biashara Mkuu
 
Mkuu, si nimetoa mifano kama miwili hapo? Tulia usome vizuri maana naona kama upo kwenye 'jogging'.
Kuondokewa na wachezaji mbona ni kawaida tu. Suala hapa ni la kiufundi zaidi maana kama ni kuunda timu kwa wachezaji wapya yanga ndio ina idadi kubwa ya wachezaji wapya kuliko azam lakini mbona yanga inafanya vizuri kuliko azam? Wachezaji aina ya manula, kapombe, nyoni, gadiel , wawa, boko kwamba hawapo pale azam na hawana uwezo wa kuwasajili?
 
Wakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa iliyopita.
Inavoonekana ushauri (wosia) huo wameuweka pembeni ndo maana tunaona sasa ni kama 'academy' hivi.
Fikiria timuatimua ya wachezaji kama akina Manula, TV yao kuupa kipaumbele mchezo wa Simba na Yanga kuliko Azam na timu hizo kwa maana ya kuutangaza. Mechi ya Simba na Yanga itatangazwa na manjonjo kibao takriban wiki moja na zaidi kabla ya siku ya mechi ilhali mechi ya Azam na kati ya timu hizo labda siku moja au mbili tu.
Rejeeni ushauri (wosia) wa mzee Jakaya Kikwete mtafika mbali kisoka.
Umechanganya vitu viwili hapa, Azam fc na Azam media
 
Boss kubwa lao mikia fc lia lia.
 
Azama inabidi wampate mtu kama Senzo narudia tena Senzo
Senzo
Senzo

Watafika mbali sana

Wangekuwa makini hivi sasa wangekuwa kama TP Mazembe ya Bongo.

Siku wakisimama Simba na Yanga watasaga meno
🙂🙂🙂, mkuu hawa Simba na Yanga wajanja mno. Wakiona pana timu inayotishia umaarufu wao wanapandikiza watu wao kuanzi viongozi, makocha mpaka wachezaji na wakiona wanashindwa wanaleta hoja ya nchi kupata Uhuru.
 
Atakuwa alilisahau hili jambo.
Nalifaham sana hilo lakini haiingii akilini kufanya biashara bidhaa ya jirani na kuacha yako ilhali wote bidhaa yenu ni moja kasoro membo tu.
 
Back
Top Bottom