Azam FC yaiokoa Simba na mashindano ya Shirikisho

Kuna wale sijui yange au yango jina limenitoka, wale wakipita bora wanyang'anywe apewe Azam. Huwa havuki popote.
 
Hawaviki hata huko huko kwenye mashindano ya akina mama malipo nyie
 
Wale ndo kina mama wenyewe. Vikundi wao, vitenge wao, mabango kama kina mama wanavyosutana na kanga wao. 100% Kina mama.
 
Futa machozi yatapita😂
Utopolo ni utopolo tu hata azaliwe ulaya.

-Aliyesema nyuma mwiko atafika fainali champions League ni utopolo
-Aliyesema kocha fadlu Davis hafiki x mass ni utopolo.
-Sasa hivi nyuma mwiko Yuko kileleni Kwa tofauti ya point moja, na bado anajiona ndo ameshabeba ubingwa.

Kwasababu ni utopolo, hawezi kubadilika hata angezaliwa ulaya.

Mwite "uto" au unaweza kumwita "nyuma mwiko" mla mihogo, mbumbumbu fc, lakini utopolo itafaa zaidi.

Fikieni rekodi za wanaume, kwasababu hiyo ndo kawaida yenu.

Simba Nguvu mpya💪
 
Una huzuni nzito kolo
Lia kidogo nyamaza yatapita
 
Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji
Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao

Karibu tena Simba CAFCL tokeni huko shirikisho kwenye mashindano ya akina mama
Wewe akili yako finyu mno. Ligi bado mbichi unatoa wapi ujasiri wa hizo conclusions? Unaongoza kwa point mojab tuu tayari umeshakuwa bngwa!
 
Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji
Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao

Karibu tena Simba CAFCL tokeni huko shirikisho kwenye mashindano ya akina mama
Kwa hiyo ligi imeisha Leo??
 
Back
Top Bottom