Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Hahahahaha.... Kubabeki... Hii kweli ya reply ya kibabe.Nina tatizo la kutofika kileleni
Ni miezi takribani mitatu sifiki kileleni Nimekutana na baadhi ya wanawake kwa kipindi hiki chote lakini bado Ni hali ambayo inanisumbua ni heri uwahi kufika kileleni kuliko hili linalonipata Mwenye msaada au tiba nitagharimia kwa atakayeweza nasumbuka mnowww.jamiiforums.com