Azam FC yaiokoa Simba na mashindano ya Shirikisho

We Hadi saivi uko mashindano gani
 
Wewe Ngara mtoni..Hao washenyentaji wenu hao sio hadhi yetu sisi hata nyie pia..ukitaka kujua hilo timu zote zilizijidai kushikilia bomba kwenda club Bingwa zimefurushwa kwa aibu kubwa...Simba ndo mkali wa hizo kazi..na tulishawaambia huku shirikisho sio kwetu..tulidondokea tuu huku ni kwa nyuma mwiko..
 
 
Utopolo bhana
 
Umeandika kijinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…