Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

Mmewaita Azam ili ionekane mme mmuza akat ametoka km vile akivyotakaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eti dau haliwekwi wazi, ni 112M woiiiiiiii
Za ndani kabisa hizi Dogo...sijazipata popote...
Kwamba ikoje eti?
 
Kwani si alizitumia kuistaki tff cas au nilisikia vibaya!! Hizohizo tena zinaenda msikitini,kanisani? Au zilizoenda cas nyingine na zilizokuwa zinachangwa ni nyingine? Tanzania 🇹🇿 yangu mie jamani
 

Azam ndio walikuwa wanamrubuni huyu mtoto…ila mchezo walikuwa wanaucheza gizani
 
Mwanasheria wake yuko??asije sema haelewi kiingereza huko mbeleni.
 
Kila laheri 'shujaa' Feisal..💪💪💪
 
Una akili timamu wewe?, Kutoka 100M mpaka 270m yanga ndio wameufyata?.
Kama una akili timamu soma hapa msimamo wa Hersi na kilichofanyika, kisha lete majibu yeye mantiki na si kupayuka kama hoi ya meli.
 
Amesajoliwa na Waswahili, timu inaendeshwa kienyeji, mchezaji amesajiliwa bika kufafanyiwa vipimo vya mwili na afya
 
Kwahiyo kavunja mkataba yeye au yanga imemuuza?. Una utahira Bata wewe.
Sasa hapo unamuliza nani? mbona tofauti na nivyokuuliza..! Ama kweli mjinga siku zote hafichi ujinga wake, Punguani Maluunina أنت من إنتاج الفرعون ، دعني وشأني
 
Azam fc nilikuwa nawapa sana credit. Ila kwa uhuni walioufanya kwa huyu dogo na pia kwa klabu ya Yanga; hakika nimewadharau sana.

Maana wangetumia njia kama hii ya mazungumzo, wala huyu dogo asingekaa miezi 6 nje ya uwanja.
una uhakika na wenyewe Azam Fc hawajakudharau? Usikute mnadharauliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…