King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
ALiyezoea kula nyama ya mtu aachi ,asije kusema mkataba umeandikwa kiingereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewaza kama weweHivi Dirisha la Usajili limefunguliwa
MuamaraMkuu ule muhamara uliomtumia Fei,haurudi ng'oo na kesho naubetia Kwa kuwapa Simba wapate goli 4.5
Kuna wali marage tulioula kumtoa LORD MCHUNGA kwenye uenyekiti wa Yanga na kisomo kilipigwa kutoka kwa sheikh wa kipemba aseee wachezaji wote watumishi hadi mfua jezi tulikuwa nae kasoro YO BERKO ndo aligoma kuja kula wali. Kipindi hicho siwezi sahau ule wali hadi wana simba tulikuwepo.Tumeshajua dawa ya uto ni wali maharage, baada ya hapo wanalegeeea
Ila huu wali maharage hawatokaa wausahau hakika [emoji23][emoji23]Tumeshajua dawa ya uto ni wali maharage, baada ya hapo wanalegeeea
[emoji23][emoji23][emoji23]Mama waalike tena ikulu uwape wali arage,simba tunamtaka mayele[emoji1787]
Itakuwa uliwekwa nazi 🤣😂🤣Ila huu wali maharage hawatokaa wausahau hakika [emoji23][emoji23]
Muhamara=muamara.Naona umevurugwa leoUle muhamara uliomrushia Fei haurudi ng'ooo
huyo ndo Mafia! Ashafanyaga km hivo kwa NGASSA na baadae DOMAYOHuyo mwenye nyeupe km vile ndie mchezaj
Nan huyo na anataito gan kwenye hili sakatahuyo ndo Mafia! Ashafanyaga km hivo kwa NGASSA na baadae DOMAYO
usifanye mchezo na Wali MaharageUTOPOLO WAMESHINDWA TENA