Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Anaitwa Yusuf SSBNan huyo na anataito gan kwenye hili sakata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Yusuf SSBNan huyo na anataito gan kwenye hili sakata
Umejiongeza vizur banduguKivumbi na jasho
Mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa #AzamFC, Feisal Salum (Fei Toto) amesema fedha ambazo alichangiwa wakati wa sakata lake la kimkataba dhidi ya #Yanga, atazipeleka Msikitini, Kanisani na kwa Watoto Yatima.
“Namshukuru Rais Samia kwa kulimaliza hili jambo, nawashukuru viongozi wa Yanga na mashabiki wake, pia kuhusu zile fedha ambazo nilichangiwa siwezi kuzirudisha kwa waliotuma kwa kuwa siwafahamu hivyo nitapeleka kwa watu wenye uhitaji.”
Mara baada ya kutambulishwa Fei Toto na kusaini mkataba wa miaka mitatu, amekabidhiwa jezi namba 6 ambayo atakuwa anaivaa akiwa Azam FC
hahahahahaMama waalike tena ikulu uwape wali arage,simba tunamtaka mayele[emoji1787]
Kumbe ndio Boss kubwaAnaitwa Yusuf SSB
huyo tajiri Yusuf BakhresaHuyo mwenye nyeupe km vile ndie mchezaj
Pyeee pyeee🙄🙄🙄🙄pyepyeeee
View attachment 2650061
MumeoZa ndani huwa zinatolewa na wahusika labda make au mme kama kweli sijui utakuwa upande gani
Fei anajua kusoma basi. Kama KKK tu ya shule ya msingi aliambulia sifuri kila somo, ndiyo aweze kuusoma na kuuelewa mkataba ulioandikwa na mwanasheria msomi?Kikubwa asome vyema mkataba ikiwezekana wauandike kwa kipemba asome mstari kwa mstari...
Mmewaita Azam ili ionekane mme mmuza akat ametoka km vile akivyotakaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Azam fc nilikuwa nawapa sana credit. Ila kwa uhuni walioufanya kwa huyu dogo na pia kwa klabu ya Yanga; hakika nimewadharau sana.
Maana wangetumia njia kama hii ya mazungumzo, wala huyu dogo asingekaa miezi 6 nje ya uwanja.
Hatopata goli hata moja la kuifunga YangaAll the best Feisal, fainali wampe nafasi acheze na awatungue Yanga hata goli moja
Aahahaaaa
Si mlisema mnataka bilioniAzam fc nilikuwa nawapa sana credit. Ila kwa uhuni walioufanya kwa huyu dogo na pia kwa klabu ya Yanga; hakika nimewadharau sana.
Maana wangetumia njia kama hii ya mazungumzo, wala huyu dogo asingekaa miezi 6 nje ya uwanja.
Kwani Msimamizi wa uchaguzi Manzoki hamumtaki tena?Mama waalike tena ikulu uwape wali arage,simba tunamtaka mayele[emoji1787]