Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

Nyie....!!
20230608_133011.jpg
 
Tumeshajua dawa ya uto ni wali maharage, baada ya hapo wanalegeeea
Kuna wali marage tulioula kumtoa LORD MCHUNGA kwenye uenyekiti wa Yanga na kisomo kilipigwa kutoka kwa sheikh wa kipemba aseee wachezaji wote watumishi hadi mfua jezi tulikuwa nae kasoro YO BERKO ndo aligoma kuja kula wali. Kipindi hicho siwezi sahau ule wali hadi wana simba tulikuwepo.
Utopolo wanapenda sana wali.
 
Sikupi salamu:kama mbwai na iwe mbwai.
Iko hiviiii......
Katika ule mchango kiongozi wa simba alitoa 15 millions
Na waliochangia sana ni watu wa simba na azam..
Sema dogo kaamua kununua mboga na ule mchango maana alisema mwenyewe walipitia maisha ya shida mpaka kula ugali na sukari..


Kuna kiongozi wa simba baada ya fei toto kutangazwa kuwa ni mchezaji wa azam:ametuma ombi la fei kwenda simba kwa mkopo wa miaka 2.

Za ndaniii kabisa makubaliano ni aje akamiko na kipre junior ili wa mchukue fei toto..
Kweli maamuzi ni kuchagua na siku zote mtoto mdogo yake nepii..
Wale jamaaa walioshupaza shingo wameumbuka..
Kweli wameumbuka..
Mchukueni kwa mkopo maana azam ni simba B...


SISI YANGA WALA HATUTAJALI CHOCHOTEE..
cha msingi yule dogo mla ugali kwa sukari anaenda kula ugali na lamba lamba..
Kupanga ni kuchagua..
 
Feitoto baada ya kukaa nyumbani na kula urojo Kila siku tayari atakuwa na kitambi!
 
Back
Top Bottom