Nne ushazisahau au Leo ndo unajifariji?Na kweli kadunda!
Afadhari 4 za binadamu kuliko 1 cha nguruwe,btw inaonesha ulikua na hamu sana kimoja tu chaliiiiNne ushazisahau au Leo ndo unajifariji?
Wewe ndo urelax yanga mlinyanyua nini? Taratibu unakuja napopataka.... At least tumepata nauli umesahau mlikimbia juice Mara mbili? Endelea kupunguza machungu ila rekodi ya 4G iko palepale hadi mwakani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]John bocco kanyanyua kwapa huko zenji. Halafu unasema azam haina mzuka.
Relax huu mchezo hauhitaji hasira[emoji23] [emoji23] [emoji115]
4 kubwa tu hata ingekuwa ya kuku ila jifariji ila rekodi haifutiki hiyo vinne vyenye ubora kabisaa naona unakaribia leba si kwa kuhangaika huku ujifungue salama.[emoji4] [emoji4]Afadhari 4 za binadamu kuliko 1 cha nguruwe,btw inaonesha ulikua na hamu sana kimoja tu chaliiii
Kwa niaba ya wanajukwaa naomba usijeng'oa hii forum tafadhari.Wewe ndo urelax yanga mlinyanyua nini? Taratibu unakuja napopataka.... At least tumepata nauli umesahau mlikimbia juice Mara mbili? Endelea kupunguza machungu ila rekodi ya 4G iko palepale hadi mwakani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijifariji bali nakuunga mkono kwamba Simba leo kadunda kweliNne ushazisahau au Leo ndo unajifariji?
YANGA WANANYANYUA MAKOMBE YA KIUMENI......Wewe ndo urelax yanga mlinyanyua nini? Taratibu unakuja napopataka.... At least tumepata nauli umesahau mlikimbia juice Mara mbili? Endelea kupunguza machungu ila rekodi ya 4G iko palepale hadi mwakani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mlikimbia juice unadhani na sisi tuko hivyo. Tulia hapo angalau leo nimekufariji kidogo. Kuvulimia vinne si masihara ulijotahidi.Nimeanza kuelewa mantiki yako ya kukimbia juice.Kwa niaba ya wanajukwaa naomba usijeng'oa hii forum tafadhari.
Himidi huyo hapo nyuma.4 kubwa tu hata ingekuwa ya kuku ila jifariji ila rekodi haifutiki hiyo vinne vyenye ubora kabisaa naona unakaribia leba si kwa kuhangaika huku ujifungue salama.[emoji4] [emoji4]
Ya vichochoroni lakini mnashiriki?? Kweli kukosa akili ni tatizo. Hii yote mimba ya watoto nane ndo onakusumbuaYANGA WANANYANYUA MAKOMBE YA KIUMENI......
HAYO YA UCHOCHORONI AMBAYO UNAYAMEZEAGA MATE HUWA HATUJISUMBUI NA KUJICHOSHA NAYO MNO....
TUMEKUACHIA WEWE NAONA UKASHINDWA KULITWAA....
Ninachoshukuru hawa mikia fc hawajang'oa viti
Next time usikimbie juice tena ukiolewa uwe unamsubiri mumeSijifariji bali nakuunga mkono kwamba Simba leo kadunda kweli
Kweli Ni lazima Usihitaji MjadalaπππSimba anashinda na siitaji mjadala na mtu yoyote na sitaki kukosolewa
Kamoja tu.Ya vichochoroni lakini mnashiriki?? Kweli kukosa akili ni tatizo. Hii yote mimba ya watoto nane ndo onakusumbua