Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

John bocco kanyanyua kwapa huko zenji. Halafu unasema azam haina mzuka.

Relax huu mchezo hauhitaji hasira[emoji23] [emoji23] [emoji115]
Wewe ndo urelax yanga mlinyanyua nini? Taratibu unakuja napopataka.... At least tumepata nauli umesahau mlikimbia juice Mara mbili? Endelea kupunguza machungu ila rekodi ya 4G iko palepale hadi mwakani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WASEMAVYO WAHENGA.......LOL🙂
 
Attachments

  • C2Eyo0UXUAAYVWu.jpg
    C2Eyo0UXUAAYVWu.jpg
    28.4 KB · Views: 115
Afadhari 4 za binadamu kuliko 1 cha nguruwe,btw inaonesha ulikua na hamu sana kimoja tu chaliiii
4 kubwa tu hata ingekuwa ya kuku ila jifariji ila rekodi haifutiki hiyo vinne vyenye ubora kabisaa naona unakaribia leba si kwa kuhangaika huku ujifungue salama.[emoji4] [emoji4]
 
Wewe ndo urelax yanga mlinyanyua nini? Taratibu unakuja napopataka.... At least tumepata nauli umesahau mlikimbia juice Mara mbili? Endelea kupunguza machungu ila rekodi ya 4G iko palepale hadi mwakani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa niaba ya wanajukwaa naomba usijeng'oa hii forum tafadhari.
 
HUYU HIMID MAO MBAYA SANA, TEMA MATE TUKAMCHAPE.....😉😉😉😉😉
 
Attachments

  • C2E1D2EXcAQRUd9.jpg
    C2E1D2EXcAQRUd9.jpg
    24.1 KB · Views: 49
Hawa Azam walicheza vizuri wakuu, Hongera yao
Ndo mpira ulivyo wacha turudi kwa ligi kuu

Azam well done
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Wewe ndo urelax yanga mlinyanyua nini? Taratibu unakuja napopataka.... At least tumepata nauli umesahau mlikimbia juice Mara mbili? Endelea kupunguza machungu ila rekodi ya 4G iko palepale hadi mwakani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
YANGA WANANYANYUA MAKOMBE YA KIUMENI......

HAYO YA UCHOCHORONI AMBAYO UNAYAMEZEAGA MATE HUWA HATUJISUMBUI NA KUJICHOSHA NAYO MNO....

TUMEKUACHIA WEWE NAONA UKASHINDWA KULITWAA....
 
Kwa niaba ya wanajukwaa naomba usijeng'oa hii forum tafadhari.
Mlikimbia juice unadhani na sisi tuko hivyo. Tulia hapo angalau leo nimekufariji kidogo. Kuvulimia vinne si masihara ulijotahidi.Nimeanza kuelewa mantiki yako ya kukimbia juice.
 
4 kubwa tu hata ingekuwa ya kuku ila jifariji ila rekodi haifutiki hiyo vinne vyenye ubora kabisaa naona unakaribia leba si kwa kuhangaika huku ujifungue salama.[emoji4] [emoji4]
Himidi huyo hapo nyuma.
 
YANGA WANANYANYUA MAKOMBE YA KIUMENI......

HAYO YA UCHOCHORONI AMBAYO UNAYAMEZEAGA MATE HUWA HATUJISUMBUI NA KUJICHOSHA NAYO MNO....

TUMEKUACHIA WEWE NAONA UKASHINDWA KULITWAA....
Ya vichochoroni lakini mnashiriki?? Kweli kukosa akili ni tatizo. Hii yote mimba ya watoto nane ndo onakusumbua
 
Asante Azam FC kwa kuwalalisha vijuso mapema. Hahahahaa kwetu raha tu, yale machungu tulishayasahau. Kazi kwenu machungu mabichi haya. Ila mikia mlikuwa mnajua mnachukua kombe la bonanza. Azam kawaharibia, yaani Azam Mungu anawaona.
 
Ninachoshukuru hawa mikia fc hawajang'oa viti

YAANI YATUPASA KUSHUKURU MNO....

PALE UWANJA WA TAIFA WALIVUNJA VITI,,,,, TULITEGEMEA KUWA HATA HUKO WANGEVUNJA MUUNGANO.

TUNAWAPONGEZA KWA UVUMULIVU WAO KWA KWELI..
 
Back
Top Bottom