Chunga maneno yako,,yasije kukurudiaAzam hachomoki hata kwa dawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chunga maneno yako,,yasije kukurudiaAzam hachomoki hata kwa dawa
Na kuichabanga Mikia FC bao 1 kwa 0Azam yatinga nusu fainali yaicharaza yanga bao 4- 0
Kwahiyo mmejiandaaje kuwapokea Azam hapo Bandarini wanaporudi na Kombe laoTunatuma salamu kwa kocha wa mikia, wachezaji wa mikia na mashabiki wote wa mikia. Ujumbe kutangulia si kufika. Wimbo tunawachagulia wa Darasa, Muziki...
Hakuna maumivu makali kama kupoteza kwenye fainali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tumezisahau 4 zetu fainali inauma kupigwa
Binadamu tumeumbwa na haya kumbe hata simba kuna waqt anaona aibu !
Daaaaah kaka Mungu Mkubwa sana.Najua dada (shemeji)roho yako kwatu umepoza machungu hata mimi burdaaaaan
Fyatuuuuuuuu [emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama si kwa raha niliyonayo hapa.midomo fyatuuuuuuuuuu
Bado dk 90 hazijaisha?Mpira dk 90 tusubir,nna imani na mnyama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wachezaji wa Simba wakirudi tu Dar wanapaswa kuchapwa Bakora, wanacheza utadhani wamebakwa.
Mji kimyaaaa..sharubu zote zimelowa na kunyweaFyatuuuuuuuu [emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka hadi machozi!Aiseee lile goli la Himid ni hatari tupu Ageyi anasema alisikia upepo tu hakuona mpira
Full shwangweFyatuuuuuuuu [emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahJecha kafuta matokeo
Ile comment yako siku ile ilieleza kinaga ubaga huzuni ulio kuwa nayo pole na leo nafsi imetuaDaaaaah kaka Mungu Mkubwa sana.
Niliumiaaaaaa leo machungu yote kwishaaaa dah
Alhamdulillah [emoji120]
Leo katika fainali ya mapinduzi cupYanga mmeanza kushabikia Azam lini?
Maisha bila unafki hayaendi.Leo katika fainali ya mapinduzi cup