Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Ni fainali ya kihistoria leo
Simba sport Club vs Azam Football Club
Mahali: Uwanja wa Amani
Tarehe: 13 Jan 2017 Saa 2:15 Usiku


=> Azam FC mabingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC.

13' Himid Mao anapiga shuti kali kutoka nje ya 18 na kumshinda mlinda mlango wa Simba, Azam 1-0 Simba
Hiii thread naomba ifutwe,
Faster mulah naomba ifute hii thread
 
Back
Top Bottom