Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Mechi ya fainlai kama tukikutana na ndala fc......tutaingiza timu yenye wachezaji nane....,kipindi cha kwanza naa kipindi cha pili tutaingiza wachezaji watatu... namaanisha kipa ,kiungo mmoja na mshambuliaji mmoja.....
Dawa yenu ni kuwaachia mbao ili mkutane nao fainal mana ubingwa wa vpl tushajua unaenda wapi
 
Mimi sio mwenzio wa malalamiko FC,mezani FC mkuu.
Malalamiko kwetu mwiko,mpira unadunda na ushindi tunaupata uwanjani sio mezani [emoji4]
Halafu unajua siyo vizuri kwa mtoto mzuri kama wewe kushabikia hao vyura fc..!?
 
Tukutane hapahapa panapo majaaliwa. Yanga hatuwahi kuingia uwanjani na mashaka.[emoji4]
Niffah hufananii kabisa kushabikia hiyo rangi ya kijani na njano..umependeza na kilemba kumbe dah....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…