idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Mkuu tunaongelea game ya leo, naona uko nyuma ya muda.!Kama alivyouchuna siku Tambwe alivyoupakata mpira na kufunga![emoji57] [emoji57] [emoji57]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunaongelea game ya leo, naona uko nyuma ya muda.!Kama alivyouchuna siku Tambwe alivyoupakata mpira na kufunga![emoji57] [emoji57] [emoji57]
Linalomata ni tukio, yanafanana. Haijalishi ni kwa muda gani!Mkuu tunaongelea game ya leo, naona uko nyuma ya muda.!
Dawa yenu ni kuwaachia mbao ili mkutane nao fainal mana ubingwa wa vpl tushajua unaenda wapiMechi ya fainlai kama tukikutana na ndala fc......tutaingiza timu yenye wachezaji nane....,kipindi cha kwanza naa kipindi cha pili tutaingiza wachezaji watatu... namaanisha kipa ,kiungo mmoja na mshambuliaji mmoja.....
Dawa yenu ni kuwaachia mbao ili mkutane nao fainal mana ubingwa wa vpl tushajua unaenda wapi
Halafu unajua siyo vizuri kwa mtoto mzuri kama wewe kushabikia hao vyura fc..!?Mimi sio mwenzio wa malalamiko FC,mezani FC mkuu.
Malalamiko kwetu mwiko,mpira unadunda na ushindi tunaupata uwanjani sio mezani [emoji4]
Acha woga kwanza anaweza kumtoa mbao?Simba amueni moja...mfungwe na Azam mkwepe aibu ya kufungwa na Yanga fainali au mkakumbane na aibu na fedheha.
Niffah hufananii kabisa kushabikia hiyo rangi ya kijani na njano..umependeza na kilemba kumbe dah....Tukutane hapahapa panapo majaaliwa. Yanga hatuwahi kuingia uwanjani na mashaka.[emoji4]
Leo mtapigwa mbao kadhaa za vichwa tu mkuu... Punguza munkari..Nyie tungulieni chumbani tukute mmeandaa mazingira.
Mkuu vipi kirumba huko??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njoo Simba chama la kijanjaSimba amueni moja...mfungwe na Azam mkwepe aibu ya kufungwa na Yanga fainali au mkakumbane na aibu na fedheha.