Kama sio uimara wa huyu kipa tungekuwa tunaongea mengine.Ilikuwa hatari sana ile
Halafu hata uwanjani majukwaa meupe, inaonekana zile point za mezani zimewakatisha tamaa sana.Simba imepoteza mvuto kabisa.
Mechi kubwa kama hii tupo watu watatu tu hapa?
Poleni sana mashabiki wa Simba,naona mmevunjika moyo kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mezani FC wana vituko sana.Halafu hata uwanjani makwaa meupe, inaonekana zile point za mezani zimewakatisha tamaa sana.
Pointi za mezani sio za mchezo mchezo.....hadi mlopokaji wao kakwenda jela bila kujielewa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mezani FC wana vituko sana.
Na tushukuru sana maana wasingepokwa zile point pasingekalika.
Mbona mlikuwa kimya? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tupo wengi
Umetumwa na vyura sposi kilabu au?
Simba ananebwaSimba amueni moja...mfungwe na Azam mkwepe aibu ya kufungwa na Yanga fainali au mkakumbane na aibu na fedheha.
Manara alichanganyikiwa sana,walishajihakikishia ubingwa kwa point za mezani.Pointi za mezani sio za mchezo mchezo.....hadi mlopokaji wao kakwenda jela bila kujielewa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najivunia kua shabiki wa timu unayoshabikia,simba raha sana.Mbona mlikuwa kimya? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnasubiri mfunge ndio mje?
Poleni,mtachoka kusubiri.
[emoji3] hawa jamaa wanakera mpk basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
unafiqRefa analipa fadhila,sio bure.
Unafiq mkuuSimba imepoteza mvuto kabisa.
Mechi kubwa kama hii tupo watu watatu tu hapa?
Poleni sana mashabiki wa Simba,naona mmevunjika moyo kabisa.
Wazee wa 4g mpo?Inaelekea mnaumia sana kuona azam hajafunga hadi muda huu.Endeleeni kuleta maneno ila msikimbie hapa utakapofunguliwa mziki.Inashangaza kweli kwani hata MO amecheza faulu inayofanana na ya sure boy lkn hata njano hajapewa na penat bocco amenyimwa
Malalamiko kwenye football mbona kawaida tu. Serengeti Boyz nao ni mezani FC? Ushindi wao wamepewa mezani baada ya kukata rufaa kwa yule kijeba wa Congo.Mimi sio mwenzio wa malalamiko FC,mezani FC mkuu.
Malalamiko kwetu mwiko,mpira unadunda na ushindi tunaupata uwanjani sio mezani [emoji4]
Ile penalti refa alikuwa mbali, ila kibendera aliamua kuuchuna tu maana tukio lote aliliona.!Inashangaza kweli kwani hata MO amecheza faulu inayofanana na ya sure boy lkn hata njano hajapewa na penat bocco amenyimwa