Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Simba imepoteza mvuto kabisa.
Mechi kubwa kama hii tupo watu watatu tu hapa?
Poleni sana mashabiki wa Simba,naona mmevunjika moyo kabisa.
Halafu hata uwanjani majukwaa meupe, inaonekana zile point za mezani zimewakatisha tamaa sana.
 
Halafu hata uwanjani makwaa meupe, inaonekana zile point za mezani zimewakatisha tamaa sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mezani FC wana vituko sana.
Na tushukuru sana maana wasingepokwa zile point pasingekalika.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mezani FC wana vituko sana.
Na tushukuru sana maana wasingepokwa zile point pasingekalika.
Pointi za mezani sio za mchezo mchezo.....hadi mlopokaji wao kakwenda jela bila kujielewa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pointi za mezani sio za mchezo mchezo.....hadi mlopokaji wao kakwenda jela bila kujielewa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Manara alichanganyikiwa sana,walishajihakikishia ubingwa kwa point za mezani.
Halafu walivyo mambumbumbu wanapeleka malalamiko na kutembea kifua wazi kumbe hata ada hawajalipa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inashangaza kweli kwani hata MO amecheza faulu inayofanana na ya sure boy lkn hata njano hajapewa na penat bocco amenyimwa
 
Inashangaza kweli kwani hata MO amecheza faulu inayofanana na ya sure boy lkn hata njano hajapewa na penat bocco amenyimwa
Wazee wa 4g mpo?Inaelekea mnaumia sana kuona azam hajafunga hadi muda huu.Endeleeni kuleta maneno ila msikimbie hapa utakapofunguliwa mziki.
 
Mimi sio mwenzio wa malalamiko FC,mezani FC mkuu.
Malalamiko kwetu mwiko,mpira unadunda na ushindi tunaupata uwanjani sio mezani [emoji4]
Malalamiko kwenye football mbona kawaida tu. Serengeti Boyz nao ni mezani FC? Ushindi wao wamepewa mezani baada ya kukata rufaa kwa yule kijeba wa Congo.
 
Inashangaza kweli kwani hata MO amecheza faulu inayofanana na ya sure boy lkn hata njano hajapewa na penat bocco amenyimwa
Ile penalti refa alikuwa mbali, ila kibendera aliamua kuuchuna tu maana tukio lote aliliona.!
 
Back
Top Bottom