Hawa wamejipanga,sio bure.Ile penalti refa alikuwa mbali, ila kibendera aliamua kuuchuna tu maana tukio lote aliliona.!
Tusubiri kesho mkuu,Yanga sio Simba bwana.Nani kakudanganya kwamba yanga atagurukuta kwa mbao?
Wataijutia sana ile nafasi.AZAM wanakosa goli la kichwa hapa.....
Shangaa na ww!Nani kakudanganya kwamba yanga atagurukuta kwa mbao?
Hahahahah la mkono hahaha dahazam watapata goal hata la nape
Hahahaha umeua kiongozi.Mpaka sasa ni simba moja azam bashite