Punguza munkari kesho mbao akunyoosheYarabiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Azam mnafanya nini jamani?
Daaaaaaaah!
Goli la waaaazi kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naombeni tuwe pamoja tu,msitukimbie.Punguza munkari kesho mbao akunyooshe
Vp mkuu??Simba atapigwa 3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe unapenda kuona Yanga ikishinda? Tuanzie hapo.Kumbe una roho mbaya hivi mkuu. Umenikumbusha mbunge wa zamani wa mikoa ya kusini na mfano wake wa nyoka wa mdimu/mdimi.
Umeipata siyo.. [emoji12]Azamu piga hao mikia fc 2 bila.!
Mpira umeshaisha,hapa tunapiga soga tu.Dak 90" zimeisha zimeongezwa 5 za nyongeza.
Nyie tungulieni chumbani tukute mmeandaa mazingira.Umeipata siyo.. [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyie tungulieni chumbani tukute mmeandaa mazingira.
Mimi hapa,tukutane kesho uone kandanda safi.
Halafu sisi kipindi cha kwanza tutakuwa tumeshafunga hesabu [emoji4]
Unadhani sisi ni nyie ambao hamna hata laki 3 ya kulipia malalamiko yenu?Wachezaji wamelipwa kwanza? Kesho wasijekukimbia.[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaleyale mkuu.Vp matokeo wadau bado yaleyale?
Jamaa jinga sana lile,linapoteza muda tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] John Boko bwege Kweli badala ya kucheza mpira anaomba penati