Azam Federation Cup: Yanga yatupwa nje ya mashindano baada ya kutandikwa magoli 2-0 na Lipuli

Ingekuwa tunatumia lugha ya kikaguzi wa mahesabu na shughuli za kampuni au serikali, tungeita YANGA hii ni DHAIFU.

Leo YANGA wametolewa kombe la FA na pia Jumatano wanaondolewa kwenye usukani wa ligi kuu bara TPL.

Anyway kila mmoja atavuna alichopata kwani mpira ni uwanjani sio mdomoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji108][emoji123][emoji108][emoji108]
Nanunua yanga mbovu na dola chakavu
Nanunua yanga mbovu na dola chakavu
Nanunua yanga mbovu na dola chakavu
Nanunua yanga mbovu na dola chakavu
Nanunua yanga mbovu na dola chakavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Leo nimefurahi sanaaaa
Na nitalala saaa 8. Usiku
Nitajaribu na
Kuionja Bia
Safari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji108][emoji123][emoji108][emoji108]
Nanunua yanga mbovu na dola chakavu
Nanunua yanga mbovu na dola chakavu
Nanunua yanga mbovu na dola chakavu
Nanunua yanga mbovu na dola chakavu
Nanunua yanga mbovu na dola chakavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Heshima kwako Sir
 
Inakutu sana hailipi....
 
Hili swali liliulizwa kipindi kile

Hivi ni nini maana ya neno LIPULI? Haina maana ya PULI kweli.

Naona mtu kapigishwa
 
Lekage twitovele be, i yanga si kinu kwetu vana paluhengo

Acha tujipigie tu hawa yanga ni saizi yetu
 
Mkuu utaitwa uhojiwe pale jangwani la sivyo ufute hilo neno DHAIFU
 
Hii match simba wamenunua,lipuli hawana uwezo Wa kuifunga Yanga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…