Azam inasubiri nini kutimua kocha wake?

Azam inasubiri nini kutimua kocha wake?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi hawa wanataka kitokee nini ili watimue huyu kocha wao mbovu?

Zahera Mwinyi kishatimuliwa Coastal Union (wanadai kabadilishiwa majukumu), sasa hawa Azam shida yao iko wapi?

Screenshot_2023-10-27-22-10-38-1.png
 
Hivi hawa wanataka kitokee nini ili watimue huyu kocha wao mbovu ?

Zahera Mwinyi kishatimuliwa Coastal Union ( wanadai kabadilishiwa majukumu ) , sasa hawa azam shida yao iko wapi ?

View attachment 2795025
Washafukuza makocha wengi sana!

Tatizo la Azam sio makocha

Tatizo la azam ni WACHEZAJI

Coz hawajitumi na sio wapiganaji kabisa

Wapo wapo tu siku ziende wapige hela za bakhresa
 
Uislamu mwingi mno.....

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Na wachezaji wote ni waislamu??

Shida udini umewajaa,


CEO wa makampuni yote ya Azam ni muhindi (sio muislamu)

Wafanyakazi wasio waislamu wapo wengi mno, na katika uislamu hakuna shida kuwaajir au kuajiriwa na wasiokuwa waislamu

Bagamoyo sugar Kuna kanisa nje ya kiwanda (kumbuka ni hakuna makazi karibu na kiwanda kile ) hivyo limejengwa na wamilika na/kwa idhini ya waajiri (SsB)

Taasisi za Bakhresa ikiwemo Bagamoyo sugar zimeajiri wafanyakazi wengi walio wakristo na wahindi (mabaniani)


Ulienda makao makuu (Mzizima) Kuna Hadi SMOKE AREA, Sasa muislamu serious ataweka eneo la kuvuta sigara?

Hata ukiangalia Azam fc Kuna wakristo kibao


Shida kubwa udini umewajaa

Waislamu wakiajiriwa mtaongea, wasipoajiriwa mtaongea eti hawajasoma wanakazania kusoma madrasa tu
 
Sifa kuu ya kupewa kazi Azam fc ni lazima uwe na sigda mambo ya uwezo yanakuja baadae pili uwe na majina kama seleman au Hassan na mengine kama hayo,hapo tu ndio team kila siku inakula za usoView attachment 2795026
Hivi kocha Mkuu wa Azam ni nani? Maana kabla ya match ya Yanga niliona kocha mzungu anahojiwa na ikaeleezwa ndio kocha Mkuu, ilipofika match uwanjani namuona huyo Dabo ndio kama kocha Mkuu.
 
Sifa kuu ya kupewa kazi Azam fc ni lazima uwe na sigda mambo ya uwezo yanakuja baadae pili uwe na majina kama seleman au Hassan na mengine kama hayo,hapo tu ndio team kila siku inakula za usoView attachment 2795026
Kama inakuja vile maana hivi karibuni aliletwa yule msomali baada ya hapo akaletwa huyu Dabo,ukiwaangalia nasaba zao ni hizo hizo usemazo.
 
Back
Top Bottom