Anauza ili timu anayoishabikia iweze kuwa na gepu kubwa zaidi na hana uchungu na Azam.Ni mapenzi yamezidi uweledi.Hata msimu uliopita Azam alifungwa na Namungo goli 2 kwa 1.Inabidi awajibike.Azam wamejaribu kuwekeza na kufukuza makocha lakini viongozi wasaliti wakiongozwa na Popat wanaiangusha.Acha kumharibia Popat ugali wake. Jana nimemuona uwanjani akiwa na huzuni sana. Hata kama ni kibaraka wa timu kubwa kama unavyodai iweje aiuze timu yake kwa Namungo?
Umeona wapi timu inafungwa msemaji Hashim Ubwe anatabasamu kwenye interview na kusema tumepigwa roba?