Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Anajitahidi vipi,yeye si ndio aliwasajili hao wachezaji?Wachezaji ndio hovyo kocha anajitahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajitahidi vipi,yeye si ndio aliwasajili hao wachezaji?Wachezaji ndio hovyo kocha anajitahidi
Kama wachezaji mwenye timu ndio kafanya usajili msimu huu akishirikiana na kocha.Washafukuza makocha wengi sana!
Tatizo la Azam sio makocha
Tatizo la azam ni WACHEZAJI
Coz hawajitumi na sio wapiganaji kabisa
Wapo wapo tu siku ziende wapige hela za bakhresa
Kabsa mkuuKama inakuja vile maana hivi karibuni aliletwa yule msomali baada ya hapo akaletwa huyu Dabo,ukiwaangalia nasaba zao ni hizo hizo usemazo.
Yule mzungu ni msaidizi tu mkuu ni DaboHivi kocha Mkuu wa Azam ni nani? Maana kabla ya match ya Yanga niliona kocha mzungu anahojiwa na ikaeleezwa ndio kocha Mkuu, ilipofika match uwanjani namuona huyo Dabo ndio kama kocha Mkuu.
Wako insecure....Na wachezaji wote ni waislamu??
Shida udini umewajaa,
CEO wa makampuni yote ya Azam ni muhindi (sio muislamu)
Wafanyakazi wasio waislamu wapo wengi mno, na katika uislamu hakuna shida kuwaajir au kuajiriwa na wasiokuwa waislamu
Bagamoyo sugar Kuna kanisa nje ya kiwanda (kumbuka ni hakuna makazi karibu na kiwanda kile ) hivyo limejengwa na wamilika na/kwa idhini ya waajiri (SsB)
Taasisi za Bakhresa ikiwemo Bagamoyo sugar zimeajiri wafanyakazi wengi walio wakristo na wahindi (mabaniani)
Ulienda makao makuu (Mzizima) Kuna Hadi SMOKE AREA, Sasa muislamu serious ataweka eneo la kuvuta sigara?
Hata ukiangalia Azam fc Kuna wakristo kibao
Shida kubwa udini umewajaa
Waislamu wakiajiriwa mtaongea, wasipoajiriwa mtaongea eti hawajasoma wanakazania kusoma madrasa tu
Hivi kocha Mkuu wa Azam ni nani? Maana kabla ya match ya Yanga niliona kocha mzungu anahojiwa na ikaeleezwa ndio kocha Mkuu, ilipofika match uwanjani namuona huyo Dabo ndio kama kocha Mkuu.
Hebu tutajie nakocha 10 waliopita.Azam FC ili kuhalalisha ujinga ulioandika hapoSifa kuu ya kupewa kazi Azam fc ni lazima uwe na sigda mambo ya uwezo yanakuja baadae pili uwe na majina kama seleman au Hassan na mengine kama hayo,hapo tu ndio team kila siku inakula za usoView attachment 2795026
Nimetaja wapi neno Kocha hapo? au unaweza kwa kutumia....Hebu tutajie nakocha 10 waliopita.Azam FC ili kuhalalisha ujinga ulioandika hapo
Azam ni Spurs ya TanzaniaTatizo la Azam ni dogo tu, kwanza kabla ya kulaumu tujiulize nini matamanio ya mwenye team yaani Yusuph Bakhresa kwa team yake, nini hasa malengo yake? je kushindana au kufanya matangazo ya Azam tu inatosha. Azam kama wako serious wanaweza kuwa wapinzani wakubwa tu nchi hii hata kama watapata upinzani mkubwa kwa team 2 hizi lakini wangekuwa kama Athletico Madrid huko Spain. Viongozi lazima wawajibike kwa haya mimi kama napewa team hii sio kama kocha kama kiongozi wa juu basi ningekuja na mfumo mpya kabisa.
Kwanza tunajuwa sisi Tz kuna Uyanga na Usimba kila sehemu, ningehakikisha karibia wachezaji wote wa team ni wageni lakini sio wageni tu ila wa viwango vikubwa, pili wangelipwa vizuri hata wale wazawa wa team kubwa na wageni wangetaka kulipwa kama Azam. Sababu kubwa kuleta wageni wa viwango sio wageni mradi wageni tu hapana wachezaji haswa wa level za juu, wageni watakuja kufanya kazi tu wala hawajui Yanga wa Simba. Sasa shida viongozi hapa pia kuna umuhimu kuweka watu wa maamuzi wanaojitolea 100% Azam tu au leta wageni pia ondoa hawa vibaraka wa team kubwa hizi. Kiujumla team haina malengo hujui wanataka nini, unakaza ukicheza na wakubwa halafu unakuja kufungwa na team ndogo.
Hapana Spurs zio club tajiri UK, ni club maarufu lakini sio kubwa kama wale top 5. Ningekuelewa kama spurs ni matajiri halafu wanaburuzwa tu. Azam kitanzania wanapesa sio pesa za kusubiri wadhamini ni zao, wana kiwanja kizuri, wana facilty za mazoezi nzuri na huduma muhimu mishahara mizuri na kwa wakati lakini nini kinawashinda? unazi wa usimba na uyanga japo ziko sababu zingine. wanafungwa na team ambazo hazina uhusiano na hizi team kubwa. Sababu ni kwamba hawako serious hakuna uwajibikaji na viongozi wajuu hawajali. Ndio maana nimesema Yusuph Bakhresa alitaka kuwawekea viongozi targets na uwajibikaji. Ila kama target zake ni kufanya matangazo tu basi tuwaache tu wameridhika wenyewe.Azam ni Spurs ya Tanzania
Maneno ya kijinga kutoka kwa kubwa jingaDabo Hana vyeti ameajiliwa pale kwa sababu ya Ile tochi ya kuzimu.
(Sigda)
Acha kumharibia Popat ugali wake. Jana nimemuona uwanjani akiwa na huzuni sana. Hata kama ni kibaraka wa timu kubwa kama unavyodai iweje aiuze timu yake kwa Namungo?CEO anahijumu Azam.Ni kibaraka wa timu mojawapo ya Kariakoo na yupo pale kwa maslahi yake na timu anayoishabikia.Na yeye ndio anabeba mipango ya,maendeleo,kuajiri makocha,wachezaji na mikakati ya timu.
Yule CEO wa AZAM ndio anayetakiwa aondoke makocha wanaonewa bure.Hivi hawa wanataka kitokee nini ili watimue huyu kocha wao mbovu?
Zahera Mwinyi kishatimuliwa Coastal Union (wanadai kabadilishiwa majukumu), sasa hawa Azam shida yao iko wapi?
Hili ni tatizo sanaSifa kuu ya kupewa kazi Azam fc ni lazima uwe na sigda mambo ya uwezo yanakuja baadae pili uwe na majina kama seleman au Hassan na mengine kama hayo,hapo tu ndio team kila siku inakula za usoView attachment 2795026
Ukweli mtupu japo unauma kwao.Sifa kuu ya kupewa kazi Azam fc ni lazima uwe na sigda mambo ya uwezo yanakuja baadae pili uwe na majina kama seleman au Hassan na mengine kama hayo,hapo tu ndio team kila siku inakula za usoView attachment 2795026