Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama ni hivyo sawaSifa kuu ya kupewa kazi Azam fclazima uwe na sigda mambo ya uwezo yanakuja baadae pili uwe na majina kama seleman au Hassan na mengine kama hayo hapo tu ndio team kila siku inakula za usoView attachment 2795026
weka weweAzam imecheza mechi moja tu msimu huu, matokeo ya mechi nyingine yalikuwaje ?
Duuuh sikuijua hii siriSifa kuu ya kupewa kazi Azam fc ni lazima uwe na sigda mambo ya uwezo yanakuja baadae pili uwe na majina kama seleman au Hassan na mengine kama hayo,hapo tu ndio team kila siku inakula za usoView attachment 2795026
Kajitahidi kwenye nini ?Wachezaji ndio hovyo kocha anajitahidi
Kumbe ndio kawaida yao, basi Kocha asilaumiwe.Hawa Namungo hata msimu uliopita walimfunga Azam Chamazi goli 2-1.
Washafukuza makocha wengi sana!Hivi hawa wanataka kitokee nini ili watimue huyu kocha wao mbovu ?
Zahera Mwinyi kishatimuliwa Coastal Union ( wanadai kabadilishiwa majukumu ) , sasa hawa azam shida yao iko wapi ?
View attachment 2795025
Sasa kwanini wasitimue hata hao wachezaji ?Washafukuza makocha wengi sana!
Tatizo la azam sio makocha
Tatizo la azam ni WACHEZAJI
coz hawajitumi na sio wapiganaji kabisa
Wapo wapo tu siku ziende wapige hela za bakhresa
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kocha wao wa zamani kaawadhibuKumbe ndio kawaida yao, basi Kocha asilaumiwe.
Hawana preshaWashafukuza makocha wengi sana!
Tatizo la Azam sio makocha
Tatizo la azam ni WACHEZAJI
Coz hawajitumi na sio wapiganaji kabisa
Wapo wapo tu siku ziende wapige hela za bakhresa
Na wachezaji wote ni waislamu??
popat ndio anayafunga magoli kwenye goli la azam?Tatizo sio kocha mkuu ni CEO. Huyu Abdikarim Popat yupo pale kwa maslahi ya timu nyingine sio Azam. Bila kubadilisha huo uongozi hadithi itabaki ile ile.
Hivi kocha Mkuu wa Azam ni nani? Maana kabla ya match ya Yanga niliona kocha mzungu anahojiwa na ikaeleezwa ndio kocha Mkuu, ilipofika match uwanjani namuona huyo Dabo ndio kama kocha Mkuu.Sifa kuu ya kupewa kazi Azam fc ni lazima uwe na sigda mambo ya uwezo yanakuja baadae pili uwe na majina kama seleman au Hassan na mengine kama hayo,hapo tu ndio team kila siku inakula za usoView attachment 2795026
Kama inakuja vile maana hivi karibuni aliletwa yule msomali baada ya hapo akaletwa huyu Dabo,ukiwaangalia nasaba zao ni hizo hizo usemazo.Sifa kuu ya kupewa kazi Azam fc ni lazima uwe na sigda mambo ya uwezo yanakuja baadae pili uwe na majina kama seleman au Hassan na mengine kama hayo,hapo tu ndio team kila siku inakula za usoView attachment 2795026