Azam inasubiri nini kutimua kocha wake?

Acha kumharibia Popat ugali wake. Jana nimemuona uwanjani akiwa na huzuni sana. Hata kama ni kibaraka wa timu kubwa kama unavyodai iweje aiuze timu yake kwa Namungo?
Anauza ili timu anayoishabikia iweze kuwa na gepu kubwa zaidi na hana uchungu na Azam.Ni mapenzi yamezidi uweledi.Hata msimu uliopita Azam alifungwa na Namungo goli 2 kwa 1.Inabidi awajibike.Azam wamejaribu kuwekeza na kufukuza makocha lakini viongozi wasaliti wakiongozwa na Popat wanaiangusha.
Umeona wapi timu inafungwa msemaji Hashim Ubwe anatabasamu kwenye interview na kusema tumepigwa roba?
 
CEO anahijumu Azam.Ni kibaraka wa timu mojawapo ya Kariakoo na yupo pale kwa maslahi yake na timu anayoishabikia.Na yeye ndio anabeba mipango ya,maendeleo,kuajiri makocha,wachezaji na mikakati ya timu.
Kwa io ceo ndio anacheza mechi na kufungwa magoli ya kizembe?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kwa io ceo ndio anacheza mechi na kufungwa magoli ya kizembe?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Timu yeyote inashinda sio kwa wachezaji wazuri bali na Uongozi mzuri na wa kuaminika.
Kwani anapofukuzwa kocha yeye ndio kakosa magoli ya kizembe.Timu ni a whole package.
 
Wakristo haswa wa Jf wengi wenu akili finyu mno mmejaa udini na chuki.

Strewart Hall alikuwa Muislamu ?

Omog alikuwa Muislamu ?

Wachezaji waote ni Waislamu ?

Hitimisha : Nyinyi vichwa maji mmemezeshwa chuki zisizo na msingi.
Kaka nakufuatilia na napenda unavyofafanua mambo kiweledi sana
 
Sijaona comment hata moja kususu kipa, magoli anayofungwa yule kipa hapana. Yule kipa hapaswi kuwa kipa no 1 pale azam. Ni kipa mbovu sana na ataicost azam sana
 
Nimewafananisha ki mentality, yani wana small team mentallity

Chukua Simba yote, uifanye Azam na Azam uifanye Simba

Bado simba iliyokua Azam itafanya vizuri kuliko Azam iliyokua Simba
 
Kila kitu kipo under control... Unaweza kudhani hakuna lolote apo chamanzi baada ya mechi. Kumbe kuna jambo wanaliandaa kulitekeleza. It's the matter of time...
Acha kocha tuumpe muda. Maybe it's too early kumfukuza

#amtheGhost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…