FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwani huelewi maana ya neno "ustaarabu"?Tumeirithi kutoka kwamwarabu hakika inapesa nyingi mno
Utumwa haujawahi kwisha duniani. Unabadilika majina tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huelewi maana ya neno "ustaarabu"?Tumeirithi kutoka kwamwarabu hakika inapesa nyingi mno
Ziweke wazi usizificheRisiti tunazo zinaonyesha mkimuomba na kumuhimiza arudi Kimbiji
Yanga hamsajili wachezaji kwa mikataba, mnawasajili kwa majaribio (miezi sita, hadi mwaka) hasa wale ambao hawana timu ya kucheza kwa muda huo.Yanga sio genge la wahuni, mchezaji ukizingua unazinguliwa, pale akuna kulea uvundo wa aina yoyote, ndio maana akuna klabu Tanzania iliwai kufukuza timu nzima na ikaendelea kuuwasha moto kama vile akuna kilichotokea ni yanga tu,,,Ayo mambo ya kulea ujinga yapo simba ndio maana chama anawashika makalio anavyotaka na mnamkenulia tu, uyo angekuwa yanga angekuwa ashaisoma namba!
Viongozi wa ovyo wako kule kwa mhindi wa Bombay, Viongozi bora wanatwaa makombe na kujaza kwenye makabati, ebu tuambie ubora wa viongozi wako kwenye usajli ni upi? Ambao awalindi mikataba ya wachezaji kama unavyoropoka wametwaa kila aina ya kikombe na wengine wametwaa vikombe vya kahawa ivyo auna cha kuongea mbele ya wanaume bora ufiche ujinga wakoYanga hamsajili wachezaji kwa mikataba, mnawasajili kwa majaribio (miezi sita, hadi mwaka) hasa wale ambao hawana timu ya kucheza kwa muda huo.
So, msijisifie ujinga wa kufukuza timu nzima..hakuna timu duniani inayoweza kuvunja mikataba ya wachezaji wake wote wenye usajili kamili kwa sababu za hovyo.
Hakuna.
Ndio maana yanga ina viongozi wa hovyo.
Mkija kujua kulinda mikataba ya wachezaji vizuri kama timu, hasa wachezaji qa nje ya nchi ndio mtajua kwanini simba amehangaika kwa chama
wamechukua kwa wasiokuwa na helaWenye hela zao wamejichukulia mchezaji, wengine zilikuwa kelele tu.
Tunafanya biashara nyie si mlikuwa mnataka mtelemko.Uzuri kama unajua hajailishi umemuuza nani.wamechukua kwa wasiokuwa na hela
Hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Yanga. Wali-beep wakapigiwaKwa nini wachezaji hawataki kuchezea Yanga?
Wewe utakuwa Nyani au Mbwa kama ambavyo alitwambia Luc Eymael na Pesa tumemlipa. Kwa kutuita hivyo.Nachelea kusema wew nimbumbumbu kama alivyotwambia sir Aden Rage