Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

Yanga hamsajili wachezaji kwa mikataba, mnawasajili kwa majaribio (miezi sita, hadi mwaka) hasa wale ambao hawana timu ya kucheza kwa muda huo.

So, msijisifie ujinga wa kufukuza timu nzima..hakuna timu duniani inayoweza kuvunja mikataba ya wachezaji wake wote wenye usajili kamili kwa sababu za hovyo.

Hakuna.

Ndio maana yanga ina viongozi wa hovyo.

Mkija kujua kulinda mikataba ya wachezaji vizuri kama timu, hasa wachezaji qa nje ya nchi ndio mtajua kwanini simba amehangaika kwa chama
 
Viongozi wa ovyo wako kule kwa mhindi wa Bombay, Viongozi bora wanatwaa makombe na kujaza kwenye makabati, ebu tuambie ubora wa viongozi wako kwenye usajli ni upi? Ambao awalindi mikataba ya wachezaji kama unavyoropoka wametwaa kila aina ya kikombe na wengine wametwaa vikombe vya kahawa ivyo auna cha kuongea mbele ya wanaume bora ufiche ujinga wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…