Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ndo inaishia hivyo.
Kutoka vyanzo vya ndani, licha ya Yanga kurejesha pesa na kudai mkataba uheshimiwe lakini imeonekana na wazi kuwa hali haitakuwa tena shwari kati ya Fei na Wananchi kwa sasa.
Azam baada ya kuchokonoa na kuharibu sasa hawana budi kuyamaliza kwa njia sahihi nayo ni kupeleka Ofa ambayo inalingana na "Release clause" halisi ya Mchezaji huyo.
Yanga nao ili wakubaliane na deal hilo na kuachana na mpango wake wa kutaka kumuuza Fei kwa klabu ya TP Mazembe ili kuikomoa Azam, nao wameamua kuweka kipengele cha kumchukua mchezaji mmoja toka Azam.
Ipo hivi:

- Yanga wanapanga kuomba Fei akamilishe msimu na kusaidia kumaliza kombe la shirikisho la CAF.
- Iddi Seleman Nado awe sehemu ya deal hilo.
- Deal done kipindi hiki lakini utekelezaji ni msimu ukiisha ili kumpa mazingira rafiki ya Fei kuachana na wananchi na kuaga kwa heshima hasa kama watachukua kombe la Ligi.
- Suala hili litaendana na upepo wa mechi ya kesho na mezani kukamilisha makubaliano haya ni J3.