Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?

Ha ha ha unataka kusema bahasha za Simba hazina nguvu tena kama ilivyo awali?
Ni mpumbavu pekee anayedhani timu iliyojikusanyia point nyingi CAF eti inatoa bahasha.
Kunyume chake timu iliyochukua ubingwa mara nyingi na haina pointi nyingi CAF huo ubingwa lazima uwe ni wa mashaka
 
Na haendi shirikisho
 
kiufupi wanapata milioni 500 kwa msimu, ambapo ukigawa kwa miez 10 ya mashindano unapata hio 50m,

kila baada ya miez 3 wanaingiziwa 150m,
 
kama mlikuwa hamjafungua macho unadhani lilikuwa jukumu la azam kuwafungua macho.
Imesaidia sana Simba kufika NAFASI ya 3 na Azam kusimamia NAFASI ya 2 yaan Azam waongeze 20 iwe 70 nadhani Simba wataambulia NAFASI ya 5 au 7 HUKO maana ushindani utakua maradufu
 
ni milioni 50 kila mwezi kwa kila timu

pesa za kumaliza nafasi flan mwisho wa ligi ni tofauti, Yanga atapewa milioni 500 kuwa bingwa, Mtibwa wanaagwa na milioni 25, hii haihusiani na milioni 50 walizokuwa wanapokea kila mwezi kwenye msimu wa ligi
Mh h nlkuwa siijui
 
kiufupi wanapata milioni 500 kwa msimu, ambapo ukigawa kwa miez 10 ya mashindano unapata hio 50m,

kila baada ya miez 3 wanaingiziwa 150m,
Kwa mahesabu hayo inamaana ni udhamini wa blilioni 8 kwa msimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…