Ni mpumbavu pekee anayedhani timu iliyojikusanyia point nyingi CAF eti inatoa bahasha.Ha ha ha unataka kusema bahasha za Simba hazina nguvu tena kama ilivyo awali?
Kunyume chake timu iliyochukua ubingwa mara nyingi na haina pointi nyingi CAF huo ubingwa lazima uwe ni wa mashaka